Hivi ni kitu gani cha ajabu ulishawahi kufanya ukiwa peke yako?

Cajojo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Messages
5,480
Points
2,000

Cajojo

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2017
5,480 2,000
Nimechekaaa mnoo na umenikumbusha mbali sana. Unajua kila binadamu ana utahira au tuseme uchizi flani akiachwa peke ake ukitaka kuhakikisha hilo ww mchungulie mtu akiwa peke ake lazima kuna jambo la ajabu atafanya. Mi la kujamba mfululizo hilo nafanya sana.
 
funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Messages
9,484
Points
2,000

funzadume

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2010
9,484 2,000
Nimechekaaa mnoo na umenikumbusha mbali sana. Unajua kila binadamu ana utahira au tuseme uchizi flani akiachwa peke ake ukitaka kuhakikisha hilo ww mchungulie mtu akiwa peke ake lazima kuna jambo la ajabu atafanya. Mi la kujamba mfululizo hilo nafanya sana.
Kuna siku nilikula Mayai ya kuchemsha ya kutosha sasa natoka job nimeingia kwenye gari nikaachia ushuzi mmoja unanuka kama kibudu cha panya sasa ile nafika tu getini ofisini mlinzi ananistua kuna mama anakukimbilia anaomba lift nilikuwa mdogo kama piriton. Nikamchukua hivyo hivyo ingawa nilishusha vioo vyote kuokoa jahazi
 
Villky_J

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Messages
423
Points
500

Villky_J

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2017
423 500
Kuna siku nilikula Mayai ya kuchemsha ya kutosha sasa natoka job nimeingia kwenye gari nikaachia ushuzi mmoja unanuka kama kibudu cha panya sasa ile nafika tu getini ofisini mlinzi ananistua kuna mama anakukimbilia anaomba lift nilikuwa mdogo kama piriton. Nikamchukua hivyo hivyo ingawa nilishusha vioo vyote kuokoa jahazi
Mbavu zangu mm..
 
bbade

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Messages
6,672
Points
2,000

bbade

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2013
6,672 2,000
Kuna siku nilikula Mayai ya kuchemsha ya kutosha sasa natoka job nimeingia kwenye gari nikaachia ushuzi mmoja unanuka kama kibudu cha panya sasa ile nafika tu getini ofisini mlinzi ananistua kuna mama anakukimbilia anaomba lift nilikuwa mdogo kama piriton. Nikamchukua hivyo hivyo ingawa nilishusha vioo vyote kuokoa jahazi
Kidogo ifanane na Yangu. ...
Nilikuwa kazini nataka kwenda ghorofa ya juu kwa lift....nikabanwa na kijambo nikasema nichukue ngazi kwani huwa hakunaga watu huko.....ile nakiachia tu mlango wa juu Yangu ukafunguka mtu anashuka. ...nilishuka ngazi mpaka basement.....nikarudi juu kwa lift...
Nimeacha kujamba kwenye lift na kwenye ngazi.
 
Jeceel

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2018
Messages
643
Points
1,000

Jeceel

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2018
643 1,000
Mimi nakumbuka nilikuwa darasa lapili nilishikwa na haja kubwa nikiwa shuleni choo cha shule kilikuwa kinatisha shimo kubwa na chafu mno, nilisubiri wanafunzi wote wameenda mapumziko nikajisaidia ndani ya darasa haja kubwa kumbe mwanafunzi 1 wakike aliniona niliona noma na shule nzima nikatangazwa sitakaa nisahau hilo tukio
 
opot opot

Member
Joined
Dec 17, 2018
Messages
38
Points
125

opot opot

Member
Joined Dec 17, 2018
38 125
Ulitisha mkuu
Niliwahi kupanga nyumba inachoo na bafu chafu Sanaa kisumu.ilinibidi nipange tu maake nilikua nauhitaji wa haraka kwa mwezi mmoja.usiku nikibanwa kunya nachukua kamfuko nakatengezea vizuri nakunya narusha kwenye mtaro.kuoga ilikua kuoga nje sa mi sikuweza so nilikua nachukua beseni tupu nasimama ndani yake nachota maji najimwagia naogea ndani.kisumu hmmmm.nilipanga nyumba ya mabati tupuuu ikifika SAA Tisa mchana kwasababu ya jua Kali TV inagoma kuwaka..maisha hayaaa
 
Cog

Member
Joined
Mar 18, 2018
Messages
26
Points
45

Cog

Member
Joined Mar 18, 2018
26 45
Nilikuwa chumbani nikijua nipo peke yangu kumbe wife yupo nyuma ya kabati la nguo anafanya usafi basi niliachia bonge la kijambo halafu nikaruka kama nimeshtuka hadi kitandani kumbe nafanya yote hayo wife ananicheki duh nilijisikia noma sana
 
Forum statistics

Threads 1,343,476
Members 515,067
Posts 32,785,910
Top