Recent content by Salimin Ramadhan

  1. Salimin Ramadhan

    Kazi ya Antenna na Faida zake kwenye Magari

    Wadau habari! Mimi Leo naomba kufahamishwa kazi ya Antenna zinazofungwa kwenye Magari. Mfano ni katika picha hizi [emoji116][emoji116] Naomba tufanye ku share elimu.
  2. Salimin Ramadhan

    Msaada wa Body works & Painting kwa Toyota Land Cruiser 70 series

    Naomba msaada/ushauri juu ya Garage/Fundi mzuri anaefanya vizuri Body works & Painting kwa Toyota Land Cruiser 70 series. Uaminifu, professionalism vitawale. Location ni Dar es salaam
  3. Salimin Ramadhan

    Msaada wa Body works & Painting kwa Toyota Land Cruiser 70 series

    Wadau. Naomba msaada na ushauri juu ya garage/ fundi mzuri ambae anaweza akanifanyia Body works & Painting kwa Toyota Land Cruiser 70 series. Location awe ni Dar es salaam
  4. Salimin Ramadhan

    Kuhusu kufutwa kwa motor vehicle

    Nilipenda kufahamishwa kwa yeyote mwenye taarifa kamili juu ya hili swala. Magari yalokua yakidaiwa Motor vehicle yataendelea kudaiwa ama ndo itakua yamesamehewa.. Hilo ndo swali langu wadau
  5. Salimin Ramadhan

    Movie gani ya mahusiano, mapenzi imeshawahi kukufurahisha?

    Muv moja ya Kihindi inaitwa "FANAA"(Destroyed in you).. Amir khan& Kajol.... Hatar sanaaaaa
  6. Salimin Ramadhan

    Complete Engine ya Land cruiser 1DTH Turbo inauzwa

    Engine na Turbo yake viko safi kabsaa.. Ukifika tutawasha gar kama n test itafanyika then utatoa maamuz yako.. Kama huna experience na magar unawezkuja na fundi wako akusaidie
  7. Salimin Ramadhan

    Complete Engine ya Land cruiser 1DTH Turbo inauzwa

    Kama una account Instagram fany kuni DM Salimintheson_03
  8. Salimin Ramadhan

    Complete Engine ya Land cruiser 1DTH Turbo inauzwa

    Bado ipo... Fany kunchek Salimintheson@gmail.com Tupate kuwasiliana
  9. Salimin Ramadhan

    Madalali bora katika soko la hisa

    Nashkur San kiongoz.. Be blessed
  10. Salimin Ramadhan

    Complete Engine ya Land cruiser 1DTH Turbo inauzwa

    Ni kweli..sema katka kuuza kitu kuna factors ambazo znapelekea mtu anaamua kuuza kitu chake kwa bei husika including condition ya kitu pia. Ila kitu ambacho nakuhakikishia n kua engine n nzima na tunaweza tukaiwasha kisha ukasema mwenyewe kama utakua n mtu unaejua magari!!
  11. Salimin Ramadhan

    Complete Engine ya Land cruiser 1DTH Turbo inauzwa

    Kama n mtu unaefahamu gari.. Haina haja ya kuongea San.. Kama unaihitaji unawezafika sehemu husika.. Maana engine bado iko kweny gari.. Tutaiwasha kisha mwenyewe itaskilizia na utatoa majibu
Back
Top Bottom