Kazi ya Antenna na Faida zake kwenye Magari

Nov 29, 2016
21
7
Wadau habari!

Mimi Leo naomba kufahamishwa kazi ya Antenna zinazofungwa kwenye Magari. Mfano ni katika picha hizi

Naomba tufanye ku share elimu.
Screenshot_20240202-173722_1.jpg
Screenshot_20221218-065654_1.jpg
 
Inaweza kuwa wired kwaajili ya matumizi yoyote yanayohitaji Antenna, mfano Broadcating Radio, TV, Radio Calls na sehemu NYingine kama mgodini wanaweka special pole yenye bendera kwaajili ya Visibility.
 
Back
Top Bottom