Complete Engine ya Land cruiser 1DTH Turbo inauzwa

Nov 29, 2016
21
7
Engine bado iko katika hali nzuri. Haihitaji marekebisho yoyote. Ni kitendo cha kufunga kweny gar lako na kuwasha.
Location: Mkoani Simiyu,Maswa.
Kwa Mwenye uhitaji tunawezakuwasiliana
Bei yake n 2.5M
 
Hii inafaa kwenye land cruiser models zipi? L-Cruiser II je inafit? Ifotoe basi tuione, bei je?
 
Mmh, hii bei mbona karibu na bure?
Mkuu kwani umeiona ipo kwenye condition gani? Ukiona hadi imetolewa na inauzwa basi inamapungufu fulani. Ndio maana mwenye mali labda anafanya replacement na mashine nyingine. Labda tu kama gari lilipata ajali. You buy at your own risk
 
Dah, 1HD-T ni engine kubwa sana compared to 3L mkuu.
1HD-T ni Turbo 6 cylinder ina cc 4200 na horsepower 164 wakati 3 L ni 4 cylinder haina turbo, cc 2800 na 91hp.
Jongwe. Angalia Maelezo mazuri hapo juu. Ndio maana nasema bei hiyo ni sawa na bure labda engine hiyo ina matatizo.
 
Mkuu kwani umeiona ipo kwenye condition gani? Ukiona hadi imetolewa na inauzwa basi inamapungufu fulani. Ndio maana mwenye mali labda anafanya replacement na mashine nyingine. Labda tu kama gari lilipata ajali. You buy at your own risk
Jamaa anasema engine ipo kwenye hali nzuri. Siamini au jamaa hajui bei ya soko ya engine hiyo.
 
Jongwe. Angalia Maelezo mazuri hapo juu. Ndio maana nasema bei hiyo ni sawa na bure labda engine hiyo ina matatizo.
Kama n mtu unaefahamu gari.. Haina haja ya kuongea San.. Kama unaihitaji unawezafika sehemu husika.. Maana engine bado iko kweny gari.. Tutaiwasha kisha mwenyewe itaskilizia na utatoa majibu
 
Mmh, hii bei mbona karibu na bure?
Ni kweli..sema katka kuuza kitu kuna factors ambazo znapelekea mtu anaamua kuuza kitu chake kwa bei husika including condition ya kitu pia.
Ila kitu ambacho nakuhakikishia n kua engine n nzima na tunaweza tukaiwasha kisha ukasema mwenyewe kama utakua n mtu unaejua magari!!
 
Kama n mtu unaefahamu gari.. Haina haja ya kuongea San.. Kama unaihitaji unawezafika sehemu husika.. Maana engine bado iko kweny gari.. Tutaiwasha kisha mwenyewe itaskilizia na utatoa majibu
Hongera kwa kutokuwa na tamaa. Hiyo bei nzuri mno.
 
Back
Top Bottom