Ludovick, kwa vijana wa hapa naona utadunda, tafuta watu wa kuzungumza nao. Hata huku kwetu Zanzibar unapo jaribu kutowa machafu ya Karume, utaambiwa ahaa kutokana na hali ya hewa ya wakati huo, basi alipaswa, kuuwa, na yote yaliyo machafu, hata kuwachukuwa wake za wapizani wao. Haya kwa vijana...