Recent content by salimaljahwari

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Hii ndio Yanga ya Mama Samia.

    Brother Ten: Tunafurahiautani wa Simba na Yanga. Huleta mori kila timu na hii huipandisha daraka National team na kujengeka. Iko siku Afcon wataibebe Tanzania.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Japo sipendi hilo litokee, ukweli ni kwamba Yanga wanabeba Ubingwa Shirikisho Afrika

    Allahumma ij~aal Tanzania tfuuz bilbutwula. Tafsiri. Ewe Mwenyezi Mungu ijaalie Tanzania wafuzu Kombe hili. Arabic: اللهم اجعل تنزانية تفوز بلبطولة
  3. S

    JamiiForums Tanzania Japo sipendi hilo litokee, ukweli ni kwamba Yanga wanabeba Ubingwa Shirikisho Afrika

    Shikran Kaka Pembe. Nimepokea matusi yako kwa mikono miwili. Matusi hayawachi kovu wala hayaondoshi ukweli. Nakuombea kwa Mungu akupe afya na nguvu uzidi kutukana. Mwenyezimungu akuzidishie baraka na neema ya kipato. Mimi ni mefurahi mno kumsikia mzee Mchachu akizungumzia real football facts...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Japo sipendi hilo litokee, ukweli ni kwamba Yanga wanabeba Ubingwa Shirikisho Afrika

    Nchini kwetu timu yoyote ikicheza na timu ya nje basi timu zote wanasupport timu ya nyumbani.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Japo sipendi hilo litokee, ukweli ni kwamba Yanga wanabeba Ubingwa Shirikisho Afrika

    Kwa kweli mimi si Mtanzania. Wala sina timu. Umri umeenda sana . Mimi ni Muarabu. Naomba tutumie maneno ya staha kwani culture ya Tanzania ni yenye heshima kubwa. Usiwatusi oponents wako. Mimi naomba Tanzania ichukue kombe hili.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

    Kutumiya matusi si ustaarabu wa wasomi
  7. S

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Dr. Slaa nenda CUF,Chukua form na gombea uraisi.

    Matusi si kawaida ya Watanzania walostaarabika. Mkataze au mpinge mwenzako kwa hekima kwani mwisho wa siku sote ni binadamu na tunastahiki heshima.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya Urais

    Bei ya uiraisi ni hikma busra elimu upendo huruma upole uamuzi watu na Mwanzo kabisa Maandishi ya Mola.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Maaskofu, Mitume na Manabii mliotuambia Mungu kawaambia Lowassa atakuwa rais wa Tanzania 2015?

    Hakuna na hatotokeya anayejuya yatayotokeya mbeleni ila Mungu mwenyewe na hazungumzi na wanadamu. Na zama za kuleta mambo usingizini au materemsho umepita.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Aibu: CCM yazidi kumuaibisha Magufuli

    Kila kichwa kina akili yake.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Heri aliyoipenda Mungu - Lowasa For President

    Mategemeo si kila siku yanatokea. Unaweza kupenda kitu kumbe kina shari kwako na unaweza ukachukiya kitu kumbe kina kheri kwako. Mungu ndiye anayejuwa na sisi hatujuwi.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

    Nisingependa kusema lakini nitasema. Kurushiana matusi si ubinadamu. Tuwe wastaarabu jamani. Vyama ni clubs tu mara juu mara chini lakini utu unabakiya.
  13. S

    JamiiForums Tanzania BBC, DW, VOA, Aljazeera yamtangaza Lowassa dunia nzima

    Hapa Arabuni nimeona TV moja ya kiarabu ikitowa kwa urefu sana maudhui hiyo ya huyo Lowasa. Wanasema kafukuzwa kwenye chama chake indirectly hapo sikufahamu. Naona wazungu wanasema kaamuwa kuacha CCM. Nani mkweli?
  14. S

    JamiiForums Tanzania CCM Arusha wameanza kampeni Arusha

    Naona watu wamefurahi sana.
Back
Top Bottom