lbaraka
JF-Expert Member
- Feb 24, 2014
- 394
- 251
Haaa! Amehama?? Ebana siamini vile. Kweli siasa mchezo wa pata potea. Hebu Musa Allan jitokeze uyathibitishe haya. kama hutajitokeza, mimi nikwambie tu, karibu sana UKAWA, penye sauti ya MUNGU.Hapo awali alikuwa ni #TeamLowasa ...! Jamaa alivyo hamia nyumba ya jirani, naye kaama naye!