Mkuu Mimi ni CDM Lkn nashangaa tunaungana na wale ambao viongozi wetu walikua wanatuambia kua ni mafisadi! INA maana walikua wanatudsnganya hapo zamani au vipi? Watuambie ukweli Ni UPI?
Mkuu walikuwa wanaidanganya ccm
na ccm kwa kutojua ikamuengua wakamuokota.
na cha kuokota si cha kuiba,Mzee Kingunge alisema chama chenyewe
kilimsafisha kwa kashfa ya richmond,na kama ni mchafu sera ya kujivua gamba iliishia wapi?
na mbona hakupelekwa mahakamani kama ilivyo Yona na Mramba?
Ukiwa na ndizi mkononi,mtu akakwambia imeoza itupe
na wewe bila kuikagua,ukaitupa.Usipige kelele mwenzio
akiiokota kwani thamani ya hiyo ndizi kwako imeishakuwa sifuri.
Upinzani hatuhitaji kufundishwa kipi kisafi
au kipi kichafu na ccm,wanaoongoza kupiga watu
kwenye kampeni za wao kwa wao ni ccm ushahidi upo humu jf
Na toka EL amejiuzuru tumeshuhudia ufisadi ukivuka kiwango
si ajabu EL alikuwa anazuia,baada ya kutoka umezidi.
Binafsi namchukulia EL kwamba amekimbia uovu
na kuleta ongezeko la neema UKAWA.