Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,423
- 7,911
Aisee kwa hali ilivyo, hawa Yanga ni wazi watachukua Kombe la Shirikisho Africa mbele ya USM Alger Mwarabu mbovu kuliko hata wale Monastir. Kwa niliyoyaona kwenye Nusu Fainali wakipata ushindi wa 2-0 dhidi ya Asec mbovu kuliko hata Ruvu Shooting.
Ni wazi hawa watani zetu wanabeba ubingwa ambao sisi itatuchukua miongo kadhaa kuupata ama tusiupate kabisa mpaka kiama.
Kongole kwa Viongozi wa Yanga hasa injinia Hersi, huyu jamaa mpira upo damuni na ni mpambanaji kwa timu yake, yaani huyu ndio mfano halisi wa mfia timu.
Mwisho kabisa nawaona Yanga wakishinda ndani nje hii fainali kwani wale Waarabu hawawezi kupiga pasi hata 5 bila kumpasia adui, huyu ni Zalan mweupe kabisa.