Wana jf na wapenda mabadiliko wote,kuna something under the capet. Tuna mgombea mmoja toka UKAWA ambao ni umoja wa vyama vya upinzani vyenye nguvu tz. Out of this hamna chama chenye Mgombea mwenye uwezo wa kupambana na wa CCM. Hivyo CCM wakifanikiwa kumstopisha EL ushindi ni wao 100%. Posibility za kumstopisha EL wa ukawa ni kubwa ( either yeye mwenyewe kujitoa dakika za mwisho, kuwa assasinated, au kufunguliwa kesi). MARK MY WORDS. Tuwe na altenative passive candidate in case yakitokea hayo hapo juu tuweze kumpromote mwishoni. Dr Slaa ahamie CUF na achukue form. Apatikane mgombea mwenza toka CHADEMA Zanzibar (also passive). They will come to save us. MARK MY WORDS ONCE MORE: Jumapili njema.