Recent content by salehJB

  1. salehJB

    Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    Cpati pcha viwanda vya ndan vtakavyotugonga mana kchaa keshapew rungu
  2. salehJB

    [MSAADA] : Mbona Nashindwa Ku-download Videos za Music Kutumia Tubemate ?.

    Nenda settings kafungue administrative unknown sources put it 'ON'. Kuna warning hapo uisome vzr uielewe mana yawez kuwa application ulio download haijulikan na device(simu) yko.
  3. salehJB

    Je, Unazijua sifa 10 za mke mwema?

    Miamia kk mesej delivari,,,
  4. salehJB

    Mwanamke aliye mnyang'anya bunduki ilaha apewa laki 5 zawadi

    Wangemficha sura kw usalama,,
  5. salehJB

    Guys i need your help

    Tatzo lenu mnafcha na majina watu wengine tunaangalia jinsia ili upewe ushaur sahh. Kama we ni jinsia ya kke afu ukawa unajchanganya madisko na wahun lazm wazaz wakuchkie zaid kulko jambo hilo aklfanya mwnmme!!! Nakushaur chuja marafik zako wote Kama si kuwafuta kabca ukaanza moja. Mfate mama...
  6. salehJB

    Dada yangu anataka tufunge ndoa

    Akikuita mkwe...we anza muulize JE, mamamkwe(mkewe) anajua??!
  7. salehJB

    Matumizi ya asali, tango na limao

    Me cjaelew hpo! Itakuw limao+asal inafom sum y kuua vjidudu viletavo madhara tumbon
  8. salehJB

    Wajanja wa Bongo wamnasa Mbwana Samata

    katumbi ana maslah Nantes Fc ya ufaransa kwamba mchezaj wake aktaka kutolew kw mkopo anaenda kwke Tp mazembe.ndo mana alngangania samatta aende Nantes fc.ikashindikana. Samatta ameenda Genk fc Belgium hatomalza mkataba Mazembe kukwepa free transfer. source:clouds FM.
  9. salehJB

    Mahusiano: Kurukishwa ukuta, imekua sababu kuu ya Wanawake kujitetea

    ndogo sunah asa km ndo kiki yake amejiaibisha huyo gel
  10. salehJB

    TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    maswali ya kujiulza: kama gharama 4.2bilions kwa mwaka...je wanaporusha baadh y vpnd wanaokoa kias gn. uckute 2bilions tu wanazookoa! sasa hapo hawatakuw wameokoa pesa ispokuw wanatukandamiza cc wannchi.hoja ya TBC na nape wao nyepec hazna mashko. ni bora wauze yale mashanging yao kipnd ch TBC...
  11. salehJB

    Natafuta gari IST,Raum,Carina TI

    jivute ofa ya 6m utapatiwa mkoko fasta kk. usisubir had mtu mwny shida mwngne atakuuzia mkoko wake kishngo upande utaja pata nalo ajal bure
Back
Top Bottom