Guys i need your help

Guys i need your help

Kama unaloongea ni kweli kijana ushauri wangu ni huu utakusaidia.
Mtafute baba ya ko akiwa ametulia mfuate ukiwa mwenyewe.Mwambie baba mimi najua nimewakosea sana makosa mengi nyie kama wazazi na familia kwa ujumla nimefanya hiki na hiki na hiki....taja makosa wanayoyajua na wewe uliona umewakwaza.. pamoja na makosa mengine ambayo nimefanya bila kujijua.
Najutia makosa yangu naomba mnisamehe kuanzia leo nahidi kubadilika na nitafanya kile unachotaka baba.Nyie ndo wazazi wangu siwezi kupata wengine kamwe kwani nawapenda sana.
Ukishasema maneno hayo babaako hata kama atakuwa mgumu kama jiwe atakushangaa sana.Baada ya hapo badilika kabisa kuwa mtoto mtiifu utaona matunda yake.Pia fuatana na marafiki wanaowatii wazazi.Nakitakia kila la kheri
 
Nakumbuka ulishwahi kiweka uzi kuhusu baba yako kwny odhu za shule...masaada wangu kwako ni kuongea na mama yako ili amweke sawa baba ako then ndo ukae pamoja na father ako umweleze tatizo lako...usiende direct kwa mara ya kwanza...lazima myu awepo kati yenu ndo mtaweza kusolve vizuri...

Mwenyez Mungu akujaalie uepukane na hayo matatizo..InshaAllah
 
hw do i learn 2 like me? i hv no idea hw 2 do that. help pls
Soma hiki kitabu
20160203_112140.jpg
 
Tatzo lenu mnafcha na majina watu wengine tunaangalia jinsia ili upewe ushaur sahh. Kama we ni jinsia ya kke afu ukawa unajchanganya madisko na wahun lazm wazaz wakuchkie zaid kulko jambo hilo aklfanya mwnmme!!!
Nakushaur chuja marafik zako wote Kama si kuwafuta kabca ukaanza moja. Mfate mama na baba waulze wao walpokuw kwny age yko walpambanaje na msongo w mawazo. Asnte.
 
wazaz hawanpend hsa baba. cjui kwann. zaman alkua ananpenda lakin amebadlika mpk najchukia mwnyw sion km nna umuhm apa dunian. nlileta ili tatzo hpa wa2 awajanshaur wakantukana
Na mMaaa anakupenda?! thats a minor problem... ntakupa mbinu baba akupende!!
 
If you want to learn how to like yourself sleep with someone above your standards...
 
You seem to have a psychological problem..may be you are humiliated with people in your family..but also it may be because you are self centered..you dont go out and share your experiences with others. If you are likely to have those traits, it may be the reason for who you are..above all if you do compare yoursef with others.
 
How do i learn to like me? I have no idea how to do that.

Help please
Una kitu kinaitwa low self esteem hali hiyo huwa inawapata wengi hasa kwa kuhisi watu wanakuonaje au wanakufikiriaje!wengine hujikuta wanajiua.ni saikoloji problem naweza kukusaidia teknik rahisi sana ukalishinda hilo ni tatizo dogo sn km uko tiar niambie nianze kutiririka me ni shida lazma kieleweke
 
Una kitu kinaitwa low self esteem hali hiyo huwa inawapata wengi hasa kwa kuhisi watu wanakuonaje au wanakufikiriaje!wengine hujikuta wanajiua.ni saikoloji problem naweza kukusaidia teknik rahisi sana ukalishinda hilo ni tatizo dogo sn km uko tiar niambie nianze kutiririka me ni shida lazma kieleweke
Mkuu tiririka na kwa faida ya wengine
 
wasipoelewa basi tena aisee
Miss chaga hiyo we unaonaje? najua we mtt w tajir usha

Mkuu tiririka na kwa faida ya wengine

Haikwepeki kwmba ubongo wa binadam unawaza asilimia kubwa mambo hasi ambayo asilimia kubwa hayapo.kumbuka ubongo hauna off switch na binadam anajijua kwmba haya ninayowaza hayapo na ni upuuz tatizo taepuka vp hapo ndo mtu anakuwa frustrated kuliko tatizo lenyewe analofkiria.just like put gas onto fire.ukitaka kukabiliana na mambo unahic unayawaza kupindukia kwanza usiyafkuze hayo mawazo wala usifanye kitu ili ujisahaulishe yatarudi tu.kikubwa we fkiria huo ujinga wote upuuz wote tena ukiona yanaisha yaite tena uyafkirie ila kikubwa dont react yaache yaje ila usifanye chchte kuyakabili au behave km n kweli hapo utayashinda na utaishi kw aman km hujaelewa kwa kiswahili niambieni niandike n english
 
The best solution is killing urself...you will be happy in after life...trust me..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom