Recent content by Salamanders

  1. Salamanders

    JamiiForums Tanzania Lawrance Mabawa amewashauri watanzania kuitumia ibara ya 18 ya katiba kumtaka Magufuli adumu ikulu

    Hatari sana, enyi wagalatia Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Salamanders

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kisukuma wana hekima na wapole sana mfano mama Janeth Magufuli

    Anaongea bila utafiti Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Salamanders

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sex kwa wanandoa haipo kwa ajili ya kutengeneza watoto tu

    Aise, umeongea mambo ya msingi sana tangu nikufahamu. Nitafute nikupe zawadi. Nicheck PM Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Salamanders

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watanzania wengi wanapenda kulalamika kuwa hawana hela?

    Tatizo watu wakuombaomba wengi lazima uwaambie hakuna hela, kama unazo unawapa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Salamanders

    JamiiForums Tanzania Rais JPM Urambo 23/7/2017: Mwaka huu tutaongeza mishahara

    Hajasema sio vizuri kudanganya. Weka kipande cha clip ikionesha alivyoongea hivyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Salamanders

    JamiiForums Tanzania Payroll za mshahara wa mwezi huu hazina mabadiliko yoyote ya mshahara

    Hatari sana tanzania sijui imekubwa na nn? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Salamanders

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anaendesha nchi kwa misingi ya upendeleo wa kifamilia, kikabila na kikanda!

    . Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Salamanders

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anaendesha nchi kwa misingi ya upendeleo wa kifamilia, kikabila na kikanda!

    Hilo la udini au Luanda sio kweli. Mnataka kutugombanisha tu na jamii Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Salamanders

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

    Mwanaume pesa tu, kwanza ckuhizi mwanamke mkamilifu hakuna nao wanatafuta pesa/maisha. Love, relationship is business. Post sent using JamiiForums mobile app
  10. Salamanders

    JamiiForums Tanzania Anthony Diallo abanwa kona zote nne

    Aniite nije nimfanyie financial analysis ya biashara yake, na ajue nn chakufanya hili anawili upya. Post sent using JamiiForums mobile app
  11. Salamanders

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwl mwenzangu anataka mume

    Tatizo wachagua sana, ila wangoni nao aise c hawajui kukataa Post sent using JamiiForums mobile app
  12. Salamanders

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Kama unataka kuwa na afya mbovu ya akili oa msomi. Mm mwenyewe nimepursue masters degree ila cwezi kuoa msomi coz hawawezi kulea familia vzr, shobo, majigambo, kuchepuka na hawana ushirrikiano Wa maisha ya familia. Hiyo ni asilimia kubwa zaidi 90 Post sent using JamiiForums mobile app
  13. Salamanders

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wengi wanatafuta wanaume wa kuzaa nae mtoto tuu?

    Hawana Wa kuwaoa Post sent using JamiiForums mobile app
  14. Salamanders

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam Chief aendeleza ' chuki ' zake za waziwazi kwa Clouds Media Group

    Siku zote rafiki Wa leo ndiyo adui Wa kesho Post sent using JamiiForums mobile app
  15. Salamanders

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Tumekorofishana na mpenzi wangu, nimeomba msamaha ila ana moyo mgumu

    Achana nae atakusumbua huyo, mbona madem kibao tu tena wakali kinoma Sent from my HUAWEI SCL-U31 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom