Mwl mwenzangu anataka mume

Tatizo wachagua sana, ila wangoni nao aise c hawajui kukataa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Salama jamani,

Nisiwe mnafki japo mwenyewe niliweka tangazo humu kutaka mume lakini niliochat nao hatukuwahi fikia muhafaka ila baadae Mungu alinijaalia nikampata mwanaume katika mazingira ya face to face.

Bado nina iman mpo mlioserious ni mwl yupo Mbeya Uyole ana 28 hajawai zaa she is a Ngoni one primary school teacher maji ya kunde kuelekea weupe mrefu wastani ila kwenye ufupi hayumo mpole sana mambo mengine mtaulizana.

Samahani jamani yupo serious sana.

Naomba pm msije na utaniutani jamani plz.
Aisei nipm namba ya huyo teacher kama hajaolewa please serious!
 
ni pm ,niwekee na mawasiliano yke nipo serious mwenyew ni rc na nimesha ajiriwa tayri
 
ni pm ,mm mwenyewe rc na nimeshajiriwa tayr gvt,pia weka mawasiliano yke
 
ni pm ,mim mwenyew sina mtoto,ni mromani,nimeshaajiriwa gvt,baada ya kuni pm weka na mawasiliano yke
 
Back
Top Bottom