Recent content by Salamamohame

  1. Salamamohame

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume ananichanganya sana

    Dawa yake tafuta cku muondolee uvivu mueleze jinc hupedwezi na tabia yke na mambo yote anayofanya yaco kupendeza na akupe mpango wa maisha yenu ya mbele uko vp
  2. Salamamohame

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa waliofanikiwa kufika 2018 wakiwa hai

    Alhamdulillah
  3. Salamamohame

    JamiiForums Tanzania Haipiti wiki bila kukwaruzana, nikikaa kimya malalamiko

    Inategemea km toka Mwanzo umemzowesha kum2mia msg na kum plz imesha mjenga ktk kichwa chake ss ukikaa kimya lazima aje juu! Na kuhic tofauti unajua wanawake wengi wametawaliwa na wivu! Na ndio tatizo kubwa linalowapata Watu wengi ktk maucano. Sasa bs linapokuja swala la kutaka kubadilishia...
  4. Salamamohame

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Kweli kabisa nakuunga mkono mi nili2mia mwezi moja nimekata kilo nyingi sn dawa ni kuacha chakula cha wanga na sukar co mafuta
  5. Salamamohame

    JamiiForums Tanzania Nimefilisiwa na TRA, sijui hata maisha yataendaje na nina watoto wadogo

    Yan umeongea Maneno Sahihi kabisa pesa ya Mkopo haifai kbs kuingiza ktk dili utapoteza Nyumba uloweka dhamana na Maisha kuhalibika mambo ya ujanja ujanja hayafai kabisa yan pesa yko Mwenyewe unajitia Mashakan
  6. Salamamohame

    JamiiForums Tanzania Nimefilisiwa na TRA, sijui hata maisha yataendaje na nina watoto wadogo

    Atakomboa vp wakati mtaji umesha kata na anadaiwa Marejesho Bank huo ni mtihan tayar
  7. Salamamohame

    JamiiForums Tanzania Kutoka Hosp Nilikolazwa: Kuna wanawake tunaweza date/oa kumbe wachawi/walozi

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Jaman ht hali km ngum inabidi uvumilivu uwepo anaumwa na yuko hospital ht km ni shida jaman tuczibe ktk mifuko ya Rambo
  8. Salamamohame

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushindi wa Uhuru Kenyatta watambuliwa na Mahakama. Kenyatta kuapishwa tarehe 28 Novemba

    Bora wafanye kazi
  9. Salamamohame

    JamiiForums Tanzania Giggy Money Kawaumbua Mastaa uchwara, sikutegemea kama anakaa Uswahilini

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] imebidi nicheke
  10. Salamamohame

    JamiiForums Tanzania Kila nikimaliza kufanya mapenzi na mwanamke huwa siogi ili kupima nyota yake kama inafaa au ni michosho

    Janaba ni kufanya tendo la ndoa alfu hujitohalishi kwa cc Waisram ndivyo dini ye2 inatuamlisha ila kwa madheebu ya dini nyingine nikufanya tendo la ndoa bila kuoga ndo linaitwa janaba
  11. Salamamohame

    JamiiForums Tanzania Kila nikimaliza kufanya mapenzi na mwanamke huwa siogi ili kupima nyota yake kama inafaa au ni michosho

    Kujua nyota ya m2 unae Ishi nae co mpka uconge ndo unajua nyota yke Nyota ya Mwanamke Mzur ht ukioga lazima utaona Mafanikio
  12. Salamamohame

    JamiiForums Tanzania Tabia zipi ulimzoesha ex wako unahisi anapata taabu huko aliko?

    Namkumbuka sn kwa jinc alivyokuwa ananidekeza kunitoa out hata kunikosa karibu yke cku za we/nd
  13. Salamamohame

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayekupenda kweli

    Naunga mkono hoja yako[emoji106]Uko sawa
Back
Top Bottom