Recent content by Salama Jay

  1. Salama Jay

    Partner wa kusafiri nae

    Kuna kitu kinaitwa apartments siku hizi.!sio lazma hotel! Apartments zinasaidia kupunguza expenses kama za kula nje au chakula cha hotel coz unaweza kujipikia.!
  2. Salama Jay

    Partner wa kusafiri nae

    Una uwakika gani sijaolewa..!?
  3. Salama Jay

    Partner wa kusafiri nae

    Habari za saa hivi wanaJF, Let me go straight to my point, mimi ni msichana single 25 this year, napenda sana kusafiri kuliko maelezo, yani for leisure na adventure kipato changu ni cha kawaida but I can afford vitu vidogo vidogo. I plan to travel mwezi wa 6 au 7 kuelekea Nairobi so I need mtu...
  4. Salama Jay

    Mchumba wa kike anatafutwa

    Please pm me ur number
  5. Salama Jay

    Gym partner needed

    For the past six months nimekua under stress...na nikiwa na stress I find comfort in food..nimenenepa mpka najichukia,natafuta mtu wa kunipush kufanya mazoezi jioni na mchana..awe morogoro na asiwe mvivu either male o female,any will do.!
  6. Salama Jay

    Asante Whatsapp umenipatia mpenzi

    Umeona wapi nimeongea kuhusu kuwaza ndoa...?huyo nimemjibu kulingana na ujinga aliyoandika,desperate or not huwezi kuuzuia moyo uweke pause eti usipende
  7. Salama Jay

    Asante Whatsapp umenipatia mpenzi

    Sasa ulitaka niandike English mwanzo mwsho utasahihisha au?
  8. Salama Jay

    Asante Whatsapp umenipatia mpenzi

    Ulielewa vibaya...sio mtu Wa kuenjoy naye...kasome thread vizuri...nilisema nin nifanye weekend
  9. Salama Jay

    Asante Whatsapp umenipatia mpenzi

    Najibu mtu kulingana na ujinga anaongea...mtu akijibu pumba ww unaleta mashudu..
  10. Salama Jay

    Asante Whatsapp umenipatia mpenzi

    Eheee... We vp kwani kupanic uko,kumegwa nimegwe mie we upanic uko vepee...relax,ngoma bado ipo hajaondoka nayo wala kuacha nembo yake..
  11. Salama Jay

    Asante Whatsapp umenipatia mpenzi

    Kwake nilienda Mara kadhaa,kipindi naenda mke alikua bagamoyo na hakuna siku nimekutana na nguo wa dalili zozote za kua kuna mtu mwingine..so yy anakaa maeneo ya kigamboni..so tulikua na shift ,kipindi anaenda bagamoyo alikua anaaga anaenda Kwa ndugu yake kumfanyia hesabu ya mwezi coz ana...
  12. Salama Jay

    Asante Whatsapp umenipatia mpenzi

    Nimekua katika mahusiano na mkaka mmoja for a while now... Kama mwaka,honestly speaking at first wakati tunaanza kujuana,sikua na nia nae kabisa..yaani hakua love at first sight,bt since nilikua single nikaamua tu kua nae...as days go by nikajifunza kupenda...kiukweli I regret,coz nilimpenda...
  13. Salama Jay

    Nin nifanye ikifika weekend

    Ungekua unajua kusoma ungejua kutofautisha out na outings...pyee,rudi shule
  14. Salama Jay

    Nin nifanye ikifika weekend

    Elimu muhimu...mwambie aliyebarikiwa kusoma angalau mpka form 4 kwenye familia akusaidie kutafsiri kithungu hcho kidogo nilichoandika...
  15. Salama Jay

    Nin nifanye ikifika weekend

    Asanteh Kwa ushauri...!Bt as a human being..,kua na partner muhimu
Back
Top Bottom