Nje ya Mada
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,399
- 491
Acha mkwala wewe.....
Mkwala bubu huu.. Mimi sijaoa, anipe kipochi manyoya afu baadae atajua yy akikutana na wife..
Acha mkwala wewe.....
Mapenzi ya siku hizi ni ukichaa mtupu. Yaani unateswa na mtu ambaye hata humjui vizuri. Ndio mana siku hizi mnafanywa kama big G, mnamegwa mnatupwa. Safi kabisa nami nasema mmegwe tu, mana hamna namna.
Sasa mbona unakuja kulia kulia hapa.na bado mtanyooka tu.
Nimekua katika mahusiano na mkaka mmoja for a while now...Kama mwaka,honestly speaking at first wakati tunaanza kujuana,sikua na nia nae kabisa..yaani hakua love at first sight,bt since nilikua single nikaamua tu kua nae...as days go by nikajifunza kupenda...kiukweli I regret,coz nilimpenda kupita Maelezo..this guy has always been busy aisee...yupo dar nipo dar bt kuonana miezi inapita...at first nilijua ni ubusy wa kawaida tu coz as u know guys around 27 to 30 ndo maisha yanajengeka...ok Lt me go to the point now..kuna siku nipo home tu..kuna mtu akanitxt kupitia WhatsApp,kumuuliza Nani hanipi jibu straight so I decided hii dial niisave siku akiweka picha ntaona!sasa bwana siku ya birthday ya mchumba ikafika,si mnajua tena WhatsApp mara mpenzi awekwe na kawish Kwa chini..I was just passing through my dials nikaona baby kawekwa na status juu happy birthday my sweetheart.. Kwenye ile namba iliyokua inanisumbua,I didn't waste time nikachukua ile namba...called it kupitia simu nyingine
Conversations ikawa hivi
Mim:hello mambo
Yey😛oa Nani
Mim:sorry nimeokota simu ubungo ya mtu inaishia na namba 42 kakusave sweetheart nimeona nikupigia uje ufuate simu coz nimeona ww ni mtu wake ya karibu.
Yey:yah ni mume wangu
Trust me hakuna anayetaka kusikia this words..honestly niliumia Sana..n thought to myself.,y did I even learn to love this guy..one thing I have learnt,mwanaume akiwa busy kupita Maelezo kuna something behind..aisee nyie wanaume mnaumiza Sana.Hvi kwanin mnakua hamna huruma,unamdanganya mtu mpka anakubali kukuweka moyoni n at the end of the day unajua kabsa hutokua nae!
Siku nyingine jifunze kutuweka akilini au mahali pengine popote...
Lakini huko moyoni subiri hadi utapopata mume ndio anayestahili kukaa huko...
Umeelewa??
Duuu nimecheka hatari. Tatizo ukiambiwa nimeoa hutotoa kipochi manyoya na wakati hicho ndio lengo Lake kuu.
Eheee... We vp kwani kupanic uko,kumegwa nimegwe mie we upanic uko vepee...relax,ngoma bado ipo hajaondoka nayo wala kuacha nembo yake..
Khaa!! Ndiyo la msingi. Labda kinachokuumiza ni uwajibikaji wa jamaa. Ondoa hasira soon ataibuka mwingine..Eheee... We vp kwani kupanic uko,kumegwa nimegwe mie we upanic uko vepee...relax,ngoma bado ipo hajaondoka nayo wala kuacha nembo yake..
Duh we kiboko ingawa hauishi majini..... nimekupenda bure japo si kimapenzi.... NADHANI UTAMEGWA SANA KWA KUAMINI KUWA HAWAONDOKI NAYO WALA HAWAWEKI NEMBO... NA IMANI HIYO NDO INAKUFANYA ULALAMIKE LEO
Pole sana dear...sijui wanaume wanaonaga ugumu gani kufunguka kwamba wameoa...sijui wamelogwaaaaaa. Kwani kama u km eoa si unafunguka tuu ili binti akiamua kuwa mchepuko ajue!!!
OLE WA MTU ANIDANGANYE HAJAOA NIJE NIGUNDUE....NITAMPIGA MPAKA KILA ANAYEMUONA ANAMSKIKITIKIA KWAMBA HUYU SIO KUPIGWA TUU NA KUBAKWA AMEBAKWA....SHEZIIIIII
Salama Jay wewe juzi juzi ulisema unataka mtu wa kuinjoy nae weekend?
Vip ulimpata?
Baada ya kuachana na huyo je umeshapata mwingine?
Tatizo lako uzungu mwingi.Kama hivi vingereza ulivyotumia hapa ndo unavyotumia kuongea lazima uwe mchepuko tu.
Eheee... We vp kwani kupanic uko,kumegwa nimegwe mie we upanic uko vepee...relax,ngoma bado ipo hajaondoka nayo wala kuacha nembo yake..
Unajisikia unavyoongea. You sound desperate. Ila kiukweli nanyi fanyeni ka homework kidogo. Hizo akili mnafanya nayo nini kama sio kufikiri? Mtu kukutokea tu ushawaza ndoa.Khaaa