Wazee wa fursa mpoooo???
Muhimu mkuu..Wengine majanga..Nilikutana na mmoja huyo hatari..Bila kuwa na pic ya gf wangu kwenye wallet nisingefunga goli hata moja..Ilibidi niitoe niwe naiangalia atleast ushindi ndo ukaja
Hahahah
Umepinda wewe walah
Mm ni very outgoing..napenda Sana kusafiri na kutoka ikifika weekend..tatzo linakuja kua I know only few people na Kwa wale watokaji mnajua how boring it can gt kutoka mwenywe..pili am single..!yaani boredom ndo inastrike Mara mbili..!yaani Kama Leo nina hamu kweli ya kudress up, look sexy ,kwenda somewhere n kill the weekend..!kunywa ndani alone sipendi coz sio mnywaji Sana..what should I do...
Teh teh..Baadhi ya wadada makeups zinawasitiri sana aisee
Mm ni very outgoing..napenda Sana kusafiri na kutoka ikifika weekend..tatzo linakuja kua I know only few people na Kwa wale watokaji mnajua how boring it can gt kutoka mwenywe..pili am single..!yaani boredom ndo inastrike Mara mbili..!yaani Kama Leo nina hamu kweli ya kudress up, look sexy ,kwenda somewhere n kill the weekend..!kunywa ndani alone sipendi coz sio mnywaji Sana..what should I do...
Utakuwa mgonjwa wewe,unatafuta wa kufa nae
Pole fanya mazoezi kila weekend !!!!!!Siku hizi dunia imeharibika hakuna urafiki wa kweli ....Kuna udanganyifu .Au kama tayari umepata chanjo la kukinga mateso ya moyo
kumbe ishu kutoka tu? toka nje ya nyumba alafu rudi ndani
Unajua mabango yanalipiwa siku hizi? Hakuna cha bure. Naamini umepata patna wa kuihuisha nafsi!!Asanteh Kwa ushauri...!Bt as a human being..,kua na partner muhimu
sa umeandika english gani yamaana hapo we kilaza mpaka watu washindwe kuelewa?Elimu muhimu...mwambie aliyebarikiwa kusoma angalau mpka form 4 kwenye familia akusaidie kutafsiri kithungu hcho kidogo nilichoandika...
sa umeandika english gani yamaana hapo we kilaza mpaka watu washindwe kuelewa?
Ungekua unajua kusoma ungejua kutofautisha out na outings...pyee,rudi shule