Recent content by Sakita Jr

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kitanda chako na mke au mume Wako

    Nimefurahia Sana mleta mada kuwasilisha mada yenye mashiko, iliyo nyeti namna hii! Kudos... Watu Sana maoni tofauti kutokana na experiences za maisha! Hata hivyo, nionavyo Mimi na kwa umuhimu wa ndoa, Ni bora uingie gharama kubwa kwa uwezo Wako ILA asiwepo mgeni theatre a.k.a production /...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je kuna ukweli katika hii dhana?

    Nakubaliana na wewe 100%. Maadili yanakwenda hivyo. Discipline inatengenezwa kwa uvumilivu na mipango yenye mwelekeo.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mume anaweza kukaa muda gani bila tendo la ndoa

    Majawabu ya moja kwa moja siyo mazuri. People are complex in nature: Hata hivyo kuna uwezekano wa jamaa kumpenda sana mtoto wake mdogo na kumhurumia mkewe asije akabeba mimba kabla mtoto hajakua vya kutosha - hilo laweza kuwa ni kutokana na kutoelewa namna ya kucheza na njia tofauti za kuzuia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ndoa ndoano kweli kweli

    Nafurahi sana wanawake wanachangia vizuri - wanaonesha kuguswa. Hapa kuna tumaini la mabadiliko, inawezekana. Ndoa ni nzuri kama maadili yatafuatwa - maana unaweza kufundisha au kuhimiza all the time usifanikiwe kumfunga mbuzi kengele. Maadili. Kubali usikubali, kama hofu ya Mungu haipo - There...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ndoa ndoano kweli kweli

    There you are miss Chagga!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Be careful with the person you are sharing your body with!

    Thank you! The message carried here is real in spiritual realm. It exactly worth digesting! May God take us through perserverence!
  7. S

    JamiiForums Tanzania FAMILIA: Je, Unahitaji kuwa na Ndoa Imara, yenye Furaha na Amani? Soma hapa...

    Baba Paroko nataka siku moja nikae naye meza moja. I like the wisdom presented here. Practical facts. Asante sana Akili za kuambiwa changanya na zako
  8. S

    JamiiForums Tanzania Passion Lady ajifungua mtoto wa kiume

    Hongera wazazi wa kidume aliyezaliwa. Mungu awatunze mama, baba na mtoto. To the baby boy - welcome to the world. Lady Passion, enjoy your passionate time
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanawake mbona mnapenda/mnatamani sana kuolewa?

    Time wil tell! NB: KUOLEWA SIO LAZIMA. WAWEZA KUISHI BILA MUME NA UKAWA NA LIFE ZURI TU.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanawake mbona mnapenda/mnatamani sana kuolewa?

    Kaka acha kujidanganya... muda utapita, it will be too late. Wanaume wanaojitambua, bila kujali uwezo wao kiuchumi wanaheshimu wanawake wanaojiheshimu. Wanaume wanaopenda majukumu na wanaojali wanawapa wanawake nafasi ya kuona fahari ya kuwa wake kama wakiamua kutumia nafasi ya kuoa. Ukiendelea...
  11. S

    JamiiForums Tanzania kweli ndoa bila ya harusi ni haramu?

    Naamini ni wazo binafsi. Spiritually, Ni muhimu ku-officiate ndoa!
  12. S

    JamiiForums Tanzania kweli ndoa bila ya harusi ni haramu?

    Nafurahi kuwa rafiki yako ana misimamo mizuri. Kwanza fahamu kuwa ukimjua mwanamke kabla ya kuwa mkeo rasmi kuna mambo ya msingi ambayo baadaye hamtafurahia mtakapokuwa mmeoana... Hamtaheshimiana katika baadhi ya maeneo; Hamtakuwa na confidence ya kuwashauri wadogo zetu (wanandoa watarajiwa)...
  13. S

    JamiiForums Tanzania WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

    Nimefurahi sana kupata mitazamo ya watu katika JF. Natazamia kuendelea kujifunza zaidi kabla ya kuanza kuchangia! Wana MMU wengi wamenigusa. It has been like I know them. They are actually wonderful even bila kuwaona. ______________________________________________________________________...
Back
Top Bottom