Mjukuu
charminglady unantafuta nakuambia. Ndo nshasema hivyo.
Mi babu yako kabla sijamuoa bibi yenu nlikuwa nabadilisha vimwana kama mboga. Baada ya kuoa, mwanzoni niliendeleza libeneke. Kalivozaliwa kamalkia kangu Matesha nikatulia tuli na familia. Nitake tena za nini wakati nshajionea za kutosha zenye ladha mbalimbali?
Mpaka sasa babu yenu nimetulia. Labda itokee tu walah.
Kuamua kutulia hakuna uhusiano wowote na tabia za awali. Jasiri haachi asili. Mwanaume kitombi, Mungu labda amtie umaskini tu. Akiwa na mahela atawabadilisha kila siku, hata kama ana wake wanne.
Ila usisahau, mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja. Usije ukajidanganya mmeo ni wako peke yako. Tunatofautiana kwenye usiri na idadi ya wanawake wa nje tunaowalabua.
Sijaandika mimi, nimekopi na kupesti toka blogu flani ya Sudani ya Kusini