zamani wazazi wetu walifundishwa kutokuwa na say mbele ya mwanaume kwa kipindi hiki kila nikiwa na maana ya mama na baba wote ni kichwa cha nyumba na kila mtu ana say ndani ya nyumba .....
kwa maana hiyo nyumba haikai nyumba lazima mmoja ajifunze kushuka ili iwe nyumba moja... mi ndo ninachokiona n ninachoelewa
1. income inequality...
2. religious differences..
3. ideological differences.
4. voice differences..
5. dictatorship.
7. weather and climatic changes due to economic conditions!
umesahau :
viber
tango
chaton
hanging out
too
yahoo messenger
Kuporomoka kwa maadili hasa kwa upande wetu akina dada.
Kutaka kupandisha sauti kama wao.
kutaka kufanya mambo kana yao.
Kutokujithamini na kujiheshimu
Kuiga maisha ya nje zaidi tukiamini ni kuendelea.
Wazazi wa sasa tofauti na wazazi waliopita. Utakuta mama yuko poa kavaa skintight balaa likewise kwa mtoto. Wote wanamitoko sawa,mazungumzo hayana tofauti.
Kama sio wanawake kua warahisi kwa wanaume basi leo hii tungekua na idadi ndogo sana ya wanaume wanaotoka nje kwa sababu wasingepata mtu lakini leo hii majirani wanashare mwanaume. Mwingine anajua kabisa ni mume wa fulani hata hakatai.
Mwisho kabisa utandawazi.
Umesahau
2go
Waplog
Google +
Camera 360
Kwa hiyo wewe ulifundishwa kuwalazima usikubali muwe wote vichwa vya nyumba eeh?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
ni upuuzi turn ndio wanaofundishana. ushaona wapi mtu hajaolewa, amezaa na waume wa wenzie au aliyeachika akamfunda MTU kutunza ndoa yake? kitchen party siku hizi ni sehemu ya kutafutia Zawadi
mimi nimejifunza mwenyewe tu kwamba linaloleta shida ndani ya ndoa ni nyumba kukaa nyumba ..... unajua ni kwamba hapo kila mtu anasheria zake na namna yake ya kuishi na kila mmoja anataka sheria zake zifuatwe ... kumbuka ndoa ni watu wawili tu sasa hapo ndo ngumi na ndondi zinapoanzia
Vipi sasa inapotokea mwenza hakufundishwa kwao, na kichwa kilala kuchangamka na kujiongeza. Maana nakubaliana na kila mtu hapo juu kuwa jukumu la kufanikisha maisha ya ndoa ni la wote kama wahusika sawa..
Ndo maana nasema vipi kwa wale pia, walioingia kwenye ndoa with much expectations?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums