Recent content by sakaz

  1. sakaz

    JamiiForums Tanzania Magufuli ameanza kazi: Amtosa Chenge hadharani huko Mjini Bariadi

    Watu wanaleta ushabiki na sio facts...! Ukweli utabaki pale pale Magufuli ndio jibu la Watanzania Kwa wakat huu..!#Hapakazitu..!
  2. sakaz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi

    CHADEMA haina tabia ya kujitafakari, haijisahihishi, na wamezoea kuishi kimazoea.... Wanadhani kila wanalosema ni sahihi..! ... ( hata mimi nikaona kaugonjwa hako)
  3. sakaz

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Huyu Sio Mtumishi wa Mungu Ni tapeli tu..!
  4. sakaz

    JamiiForums Tanzania Plot for Sale at Mbweni, Call 0755 162277

    Kuanzia 500 sq mita mpaka 1500..! Viko 21
  5. sakaz

    JamiiForums Tanzania Plot for Sale at Mbweni, Call 0755 162277

  6. sakaz

    JamiiForums Tanzania Plot for Sale at Mbweni, Call 0755 162277

    Eneo ni zuri sana kuna lami mpk site, maji na umeme. Bei ni 50,000 /=Kwa squre mita na viwanja mbele kabisa vinavyoangalia barabara kubwa Ya lami ni 70,000/=
  7. sakaz

    JamiiForums Tanzania Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

    Ni wivu wa kipuuzi kuvote kwa asiye mtanzania...! Badilikeni pendeni vyenu..!
  8. sakaz

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, umelidanganya taifa?

    Cha msingi Ni kuwa jamaa anajua shida Ya watanzania wasasa na inamkera anania yakutatua shida zao ...! Sipotezi muda wakufikiri Majizi sugu..!
  9. sakaz

    JamiiForums Tanzania Nyerere's philosophy is over

    Vilaza bado wapo nchi hii...! Elimu yawatuwazima ikazaniwe..!
  10. sakaz

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

    Watu walimkaataa hata Yesu wakaona bora Baraba achiwe...! Sishangai kuona watu wakishabikia mgawa fedha EL nakuacha watu safi..! Tuombe MUNGU...!
  11. sakaz

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

    Naunga mkono hoja asilimia 100 Ni Mwigulu Lameck Nchemba atakaye tuvusha..!
  12. sakaz

    JamiiForums Tanzania Katika wale Majambazi waliodakwa, mmoja katoka kuvisha Pete ya uchumba

    Jamaa alioa kabisa
  13. sakaz

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Huu ugonjwa wa wivu waafrika tutapona lini? Tuanze kuwaza kuwapa watu kama Dai wengi zaidi ...!
  14. sakaz

    JamiiForums Tanzania Alichokiongea Zitto Kabwe huko Mwandiga, Kigoma - Machi 15, 2015

    Ila kusupport ujinga wa chama changu sio hila yangu.. Zitto yuko sahihi kabisa kinachomtokea saivi ni vita ya kisiasa Ambayo kipindi hiki ndo mda wake wakunyong'onyeshana kwa maneno..nafikiri jambo kubwa ambalo zitto anaweza kufanya Kwa sasa nikukaa kimya kabisa mda utakuja automatically...
Back
Top Bottom