CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi

CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi

KUPOTEA...hivi unajua tafsir ya neno kupotea..??
Subiri shughuli yangu utaiona BUNGENI...MTANYOOOKA tu.

Nikuambie kitu sie malofa siku ya kupiga kura kwenye ile karatasi ile vema inakandamizwa kisawa sawa hata kama wino unatembea alama inabaki wape kabisa taarifa waisrael.
 
Endelea kuota...ukishtuka UKAWA wako ikulu

Labda kama mtapita na chopa muiangalie kwa juu lakini si vinginevyo.

Kubalini tu kuwa mmechemsha mwaka huu na mmewapa bonus kubwa sana CCM ya kuingia ikulu.
 
CHADEMA haina tabia ya kujitafakari, haijisahihishi, na wamezoea kuishi kimazoea.... Wanadhani kila wanalosema ni sahihi..! ... ( hata mimi nikaona kaugonjwa hako)
 
wataelewa tu...
 
Hahah shonza bhana !!!Eti subir niingie Bungeni.....Ndo unajifunza kuandika mipasho.Utaendelea kuwa chakula ya wakubwa Lumumba tu
 
AMANI IWE JUU YENU ENYI WAJA WEMA WA BWANA MUNGU WANGU...!!

Katika muendelezo wa kuwafikirisha, nimeona leo niwaandikie kuhusu hali ya Upinzani na kampeni zinavyoendelea hapa nchini, ambapo hali ya sintofahamu ikiendelea kudhirihi kwa CHADEMA na Kambi yote ya Upinzani hapa nchini, wachambuzi mbalimbali, wasomi na waandishi wameendelea kuandika wakijaribu kuonyesha tatizo lililoikumba kambi hiyo, wengi wao wakisema FEDHA, vipande vya rupia vilivyoingia CHADEMA vimewafarakanisha. Nami Binafsi ktk muendelezo huo huo wa kuchambua hali hiyo nitaeleza CHANZO ama SABABU halisi ya SINTOFAHAMU inayoikumba kambi ya Upinzani.

Kwa Muhtasari sana, niseme CHANZO na SABABU HALISI ya Upinzani kukosa muelekeo na kufikia hapa tulipo ni OMBWE la UONGOZI katika kambi hiyo ikiongozwa na CHADEMA..Mimi niliwahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, tena Kiongozi Mkubwa katika jumuiya yake ya Vijana, nilipata fursa ya kushiriki, kuhudhuria na kuchangia katika vikao na mikutano mikubwa, muhimu na nyeti ya Chama hicho.

Ilikuwa bayana kwetu kuwa, ilipofikia CHADEMA ilihitaji UONGOZI mpya utakaokuja na dira, maono na tafakuri mpya ambayo ingeki-transform chama hicho kuwa chama kamili cha siasa na kuondoa uongozi wa hamasa na mihemko ya kiuanaharakati..

Nikiwa ndani ya Vikao vya CHADEMA nikaliweka hili BAYANA kuwa tunalo ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA, sikueleweka, nikaonekana natishia maslahi ya wakubwa na nafasi zao kwenye Chama, nikaonekana ADUI na nikapewa jina MSALITI.

Ukweli ni kwamba FEDHA ambayo leo imetajwa mara kadhaa kuwa ndio sababu kuu ya mfarakano ndani ya CHADEMA, imepata njia kutokana na Ukweli kuwa CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi ambao umekosa Vision na Mission, ndio maana wakadhani FEDHA na UMAARUFU wa mtu ni mtaji wa wao kuingia Ikulu, wakasahau misingi, dhamira, imani na kiu ya Watanzania.

CHADEMA haina tabia ya kujitafakari, haijisahihishi, na wamezoea kuishi kimazoea, wanadhani kila siku ni jumapili na kila walisemalo watanzania watalikubali tu madhari limesemwa na wao, na kwamba kila muongeaji basi anasikilizwa. SIO HIVYO...!!

Leo waongeaji wa CHADEMA na WATETEZI wakuu kwenye mitandao ni YERICKO NYERERE, A man with 0.001 IQ
, Anaishi katika uongo na uzushi, mpaka kila mmoja amemmpuuza, Mwanakijiji, Chahali na WATABE wengine wa maandishi yenye adili, wameikacha CHADEMA, bado CDM haijiulizi, inajivunia kuwa na YERICKO. Wasomi, watumishi, na wanataaluma wameikacha CHADEMA, bado CDM haijiulizi, wanajivunia madereva bodaboda.

Moja ya sifa ya Mwerevu, ni yule ambae haumwi na nyoka mara mbili, anayejikwaa akaanguka kisha asiishie kuangalia alipoangukia bali hugeuka kwa umakini na kutazama alipojikwaa, ni nini hasa kimemuangusha..Popularity ya CHADEMA na Upinzani imeshuka na inaendelea kushuka kwa kasi, HAWAJIULIZI.

Viongozi wameacha kuchangia hoja za msingi ndani ya Vikao, wameshikwa na woga na wengine wamesusa,
Mwenyekiti Mbowe ambae Mimi binafsi nilishamuita ZERO tukiwa ndani ya Kikao changu cha Mwisho nikiwa KAMANDA wa CDM,
ameendelea kwenda Mrama kwa kasi ya ajabu...kila jipya analoliamua ni baya kuliko la jana..

Juliana kwa kiasi fulani nakubaliana na hoja zako, isipokuwa tunatofautiana katika kuwatukana watu hadaharani mfano Yeriko na Mwenyekiti wa Taifa. Huu ni ukosefu wa adabu ikizingatiwa ulifanya hivyo akiwa Mwenyekiti wako. Hata kama umebaini mapungufu yake hiyo haikuwa njia sahihi. Tujiulize hata CCM ulipo sasa hakuna viongozi wenye mapungufu binafsi, ukiwatukana hadharani itakuwaje?

Kwa ushauri wangu baada ya kupitia hoja zako nyingi sana nahisi unajutia matendo yako kwa kuwa wewe ni mpinzani wa kweli, isipokuwa papara na ukosefu wa subira ndivyo vinakukwaza.

Nimeshuhudia watu wengi wa aina yako, tena nadiriki kutamka wewe ni asset kwa CDM hata leo kuliko wengine wengi wanaojitia kukutusi. Kama CDM imeweza kumpokea Mzee Edward Lowassa ambaye miaka michahce nyuma tulikuwa tukimtukana matusi ya nguoni na kumpa nafsi ya kugombea urais kwa tiketi ya CDM hilo ni fundisho kubwa kwa wote wanaokutusi kuwa wachunge kauli zao
 
Msihangaike naye anataka kuhamisha mawazo ya wapenda mabadiriko Viva Roma mkatoriki kwa wimbo wako Viva Lowassa, Viva UKAWA
Asanteni sana
Nikisoma Comments zenu napata faraja kuwa tutaendelea kubaki madarakani kwa dahali na dahali..
 
Juliana kwa kiasi fulani nakubaliana na hoja zako, isipokuwa tunatofautiana katika kuwatukana watu hadaharani mfano Yeriko na Mwenyekiti wa Taifa. Huu ni ukosefu wa adabu ikizingatiwa ulifanya hivyo akiwa Mwenyekiti wako. Hata kama umebaini mapungufu yake hiyo haikuwa njia sahihi. Tujiulize hata CCM ulipo sasa hakuna viongozi wenye mapungufu binafsi, ukiwatukana hadharani itakuwaje?

Kwa ushauri wangu baada ya kupitia hoja zako nyingi sana nahisi unajutia matendo yako kwa kuwa wewe ni mpinzani wa kweli, isipokuwa papara na ukosefu wa subira ndivyo vinakukwaza.

Nimeshuhudia watu wengi wa aina yako, tena nadiriki kutamka wewe ni asset kwa CDM hata leo kuliko wengine wengi wanaojitia kukutusi. Kama CDM imeweza kumpokea Mzee Edward Lowassa ambaye miaka michahce nyuma tulikuwa tukimtukana matusi ya nguoni na kumpa nafsi ya kugombea urais kwa tiketi ya CDM hilo ni fundisho kubwa kwa wote wanaokutusi kuwa wachunge kauli zao
Nashukuru kwa mawazo na mchango wako..

Kuna wakati lazima tujifunze kuwa wakweli na tuuzungumze ukweli wote, sio kwa kuficha ficha, sio kwa kuoneana haya wala si kwa kusimangana bali kwa nia njema ya kujenga.

Yericko Nyerere - A story teller kumtaja hadharani kuwa ana IQ ndogo sio tusi..,kuna wakati nilikuwa nae kwenye group moja ya WhatsApp akawa kila asubuhi na jioni analeta taarifa za uzushi na uongo, na mkimkosoa leo asubuhi jioni anarudia tena kuwaletea kisa kingine..nikamwambia wazi kuwa shida aliyokuwa nayo ni UWEZO mdogo wa UBONGO wake..sio tusi ni UKWELI.

Ama kuhusu MBOWE, kabla ya hapo, naomba nikuthibitishie kuwa hakuna mtu ambaye hakuwahi kutofautiana na MBOWE katika uendeshaji wa Chama kwa muda mrefu kuliko mimi pale ambapo alitenda sawasawa, nilisimama kila wakati kwenye vikao vyetu, nikatanguliza neno SHUKRANI Mwenyekiti umetuvusha kwa hili na hili, nilimsifu katika kila jema, lakini bahati mbaya sana kwa Wafalme wetu hawajui kuwa kuna kusifiwa na kukosolewa..kwao kukosolewa ni kuvunjiwa heshima...

Siku ya Kwanza kabisa kutofautiana na MBOWE ni siku ambayo VIJANA WAWILI wa BAVICHA walipotakiwa kwenda UGANDA kwa mafunzo ya Kiungozi na Utawala (PYPA), Mimi na Mwenyekiti(HECHE) tukapanga wawakilishi wetu, ambao ni Vijana wapambanaji ambao tumekuwa tukiwatumia kwa muda mrefu bila kuwalipa fadhila yeyote, tukadhani nafasi ya kuwaendeleza, kuwaandaa imefika, tukapendekeza majina yao..SIKUAMINI kilichotokea.

Siku tatu kabla ya Safari, yaliletwa MAJINA ya watu ambao siwajui, sikuwahi kuwaona popote pale katika mapambano na harakati za BAVICHA, nikaambiwa watakwenda hao badala ya wale tuliowapitisha Mimi na Mwenyekiti (Moja ya jina nililoletewa ni JOHN MALLYA - Ambaye kwa sasa ndio mwanasheria wa Chama) BINAFSI nilipingana na MBOWE katika hili, tena wazi wazi...nikihoji UHALALI wa John Mallya na Mwenzake kwenda kwenye mafunzo hayo..

Lakini kama hilo halitoshi, wakati kuna mfarakano na mvutano mkubwa wa kimtazamo ndani ya Chadema 2012, kuhusu kutosha kwa Mwenyekiti katika nafasi yake..Binafsi nilieleza kwa hoja ndani ya Kikao kwanini nadhani MBOWE asiendelee kwenye nafasi hiyo na badala yake ZITTO achukue kijiti..nilitoa sababu na vigezo (ambavyo kama itabidi nitavisema hapa siku moja) Huu ukawa ndio mwanzo wa VITA kamili kati yangu na MBOWE na TIMU yake.

Nilivumilia mengi mpaka kufikia hatua hiyo ya kumuiya ZERO ndani ya Kikao, na actually ni baada ya kuja na barua (fake) eti ya kukihujumu Chama, nikamwambia ikiwa Mwenyekiti u with all resource that U have bado unakubaliana na uzushi uliomo ndani ya barua hiyo na umefanya maamuzi based on that piece of sh&***t then wewe ni ZERO...ilikuwa hakuna namna nyingine ya maelezo, isipokuwa kuuweka UKWELI ninaouamini mbele ya wote.

Sikia, I believe on myself na naendelea kuona kuwa i'm an asset popote pale nilipo, the good thing CCM nimeaminiwa, nikakubaliwa na nikaruhusiwa kufanya na kutenda ninachokiamini....nimepelekwa shule, nimepelekwa darasa la itikadi ya CCM, nikapikwa upya namna bora ya kufanya siasa, nikaondolewa Uhanaharakati nikafundishwa siasa..nikajaribiwa na nikafuzu.

Imani yao kwangu ni kubwa, ninachokiandika hapa kuhusu CHADEMA, kama ningekiandika nikiwa CHADEMA kuhusu CCM ningefukuzwa CHAMA, kwa sababu maamuzi yao yanazingatia zaidi mihemko na hisia.

Na ndivyo ilivyo....na ndivyo walivyo....wanaamua bila KUFIKIRI.
 
umenena na kukiri kuwa wewe ni mwajiriwa wa CCM. BASI ENDELEA KULINDA KIBARUA CHAKO MAANA CCM IKIANGUKA NA WEWE UPO UWEZEKANO UNAOGOPA KUWA JOBLESS. KWA MAELEZO YAKO NI MALOFA NA WAPUMBAVU TU NDO WANAOWEZA KUPATA TAFSIRI AU MAUDHUI YA MANENO YAKO YOTE. BILA SHAKA KAMA UNGALIKUWA BADO UPO CHADEMA UNGEANDIKA KINYUME CHAKE. ILA UMEJITAIDI KUNYEA KAMBI YAKO YA ZAMINI KAMA MAGUFULI AKIONA MAANDISHI YAKO NA AKISHINDA UNAWEZA PATA ZAWADI KAMA YA DC.MAKONDA, NAJUA UNAIJUA NA BADO KUTUKANA TU HAUJAANZA.MAELEZO YAKO YOTE YAPO BIAS KWA 100%. YAANI UMESHINDWA HATA KUJIFICHA KIAINA KUWA UMETUMWA.
Join Date: 28th July 2015.
Sasa ndugu yangu unanishutumu mimi kuwa nimetumwa kuja kuandika hapa, Nimejiunga JF kwa mara ya kwanza 2009, then nikajiunga kwa ID ya jina langu kamili 2011 na kuifanyia masahihisho na verification 2012.

Nimekuwa nikiandika siku zote hizo, wewe umejiunga juzi baada ya kuwa recruited as special task kwa ajili ya Uchaguzi mkuu, umekuja JF lkama kibarua chako kipya...na hoja uliyokuja nayo ni kuwa MIMI nimetumwa, Hivi hauoni haya..? Haujisikii aibu kujisema..?
 
Nashukuru kwa mawazo na mchango wako..

Kuna wakati lazima tujifunze kuwa wakweli na tuuzungumze ukweli wote, sio kwa kuficha ficha, sio kwa kuoneana haya wala si kwa kusimangana bali kwa nia njema ya kujenga.

Yericko Nyerere - A story teller kumtaja hadharani kuwa ana IQ ndogo sio tusi..,kuna wakati nilikuwa nae kwenye group moja ya WhatsApp akawa kila asubuhi na jioni analeta taarifa za uzushi na uongo, na mkimkosoa leo asubuhi jioni anarudia tena kuwaletea kisa kingine..nikamwambia wazi kuwa shida aliyokuwa nayo ni UWEZO mdogo wa UBONGO wake..sio tusi ni UKWELI.

Ama kuhusu MBOWE, kabla ya hapo, naomba nikuthibitishie kuwa hakuna mtu ambaye hakuwahi kutofautiana na MBOWE katika uendeshaji wa Chama kwa muda mrefu kuliko mimi pale ambapo alitenda sawasawa, nilisimama kila wakati kwenye vikao vyetu, nikatanguliza neno SHUKRANI Mwenyekiti umetuvusha kwa hili na hili, nilimsifu katika kila jema, lakini bahati mbaya sana kwa Wafalme wetu hawajui kuwa kuna kusifiwa na kukosolewa..kwao kukosolewa ni kuvunjiwa heshima...

Siku ya Kwanza kabisa kutofautiana na MBOWE ni siku ambayo VIJANA WAWILI wa BAVICHA walipotakiwa kwenda UGANDA kwa mafunzo ya Kiungozi na Utawala (PYPA), Mimi na Mwenyekiti(HECHE) tukapanga wawakilishi wetu, ambao ni Vijana wapambanaji ambao tumekuwa tukiwatumia kwa muda mrefu bila kuwalipa fadhila yeyote, tukadhani nafasi ya kuwaendeleza, kuwaandaa imefika, tukapendekeza majina yao..SIKUAMINI kilichotokea.

Siku tatu kabla ya Safari, yaliletwa MAJINA ya watu ambao siwajui, sikuwahi kuwaona popote pale katika mapambano na harakati za BAVICHA, nikaambiwa watakwenda hao badala ya wale tuliowapitisha Mimi na Mwenyekiti (Moja ya jina nililoletewa ni JOHN MALLYA - Ambaye kwa sasa ndio mwanasheria wa Chama) BINAFSI nilipingana na MBOWE katika hili, tena wazi wazi...nikihoji UHALALI wa John Mallya na Mwenzake kwenda kwenye mafunzo hayo..

Lakini kama hilo halitoshi, wakati kuna mfarakano na mvutano mkubwa wa kimtazamo ndani ya Chadema 2012, kuhusu kutosha kwa Mwenyekiti katika nafasi yake..Binafsi nilieleza kwa hoja ndani ya Kikao kwanini nadhani MBOWE asiendelee kwenye nafasi hiyo na badala yake ZITTO achukue kijiti..nilitoa sababu na vigezo (ambavyo kama itabidi nitavisema hapa siku moja) Huu ukawa ndio mwanzo wa VITA kamili kati yangu na MBOWE na TIMU yake.

Nilivumilia mengi mpaka kufikia hatua hiyo ya kumuiya ZERO ndani ya Kikao, na actually ni baada ya kuja na barua (fake) eti ya kukihujumu Chama, nikamwambia ikiwa Mwenyekiti u with all resource that U have bado unakubaliana na uzushi uliomo ndani ya barua hiyo na umefanya maamuzi based on that piece of sh&***t then wewe ni ZERO...ilikuwa hakuna namna nyingine ya maelezo, isipokuwa kuuweka UKWELI ninaouamini mbele ya wote.

Sikia, I believe on myself na naendelea kuona kuwa i'm an asset popote pale nilipo, the good thing CCM nimeaminiwa, nikakubaliwa na nikaruhusiwa kufanya na kutenda ninachokiamini....nimepelekwa shule, nimepelekwa darasa la itikadi ya CCM, nikapikwa upya namna bora ya kufanya siasa, nikaondolewa Uhanaharakati nikafundishwa siasa..nikajaribiwa na nikafuzu.

Imani yao kwangu ni kubwa, ninachokiandika hapa kuhusu CHADEMA, kama ningekiandika nikiwa CHADEMA kuhusu CCM ningefukuzwa CHAMA, kwa sababu maamuzi yao yanazingatia zaidi mihemko na hisia.

Na ndivyo ilivyo....na ndivyo walivyo....wanaamua bila KUFIKIRI.

CHADEMA inaangamia sasa hivi kwasababu watu hawaoni wala hawasikii linapokuja swala la Mbowe, the sad thing is,I have never seen a worst leader like this guy,I can't see obvious achievement under his watch, when you ask his followers about what achievements the guy have brought about,they are quick to mention the number of parliamentarians CHADEMA have got so far ignoring the fact that CHADEMA have got an increased number of parliamentarians as a result of Dr Slaa and Zitto Kabwe efforts, hard working and devotion in the Parliament.Mbowe is in the Parliament but has done absolutely nothing compared to what Dr Slaa and Zitto had done in the past.I can as well say,Mbowe is the baggage to the party,I support you Shonza.
 
After all truth u have narrate, they will be here soon and drop the shit like this "We think U are too young to be making political comments" thats all they got to comment over this..
 
AMANI IWE JUU YENU ENYI WAJA WEMA WA BWANA MUNGU WANGU...!!

Katika muendelezo wa kuwafikirisha, nimeona leo niwaandikie kuhusu hali ya Upinzani na kampeni zinavyoendelea hapa nchini, ambapo hali ya sintofahamu ikiendelea kudhirihi kwa CHADEMA na Kambi yote ya Upinzani hapa nchini, wachambuzi mbalimbali, wasomi na waandishi wameendelea kuandika wakijaribu kuonyesha tatizo lililoikumba kambi hiyo, wengi wao wakisema FEDHA, vipande vya rupia vilivyoingia CHADEMA vimewafarakanisha. Nami Binafsi ktk muendelezo huo huo wa kuchambua hali hiyo nitaeleza CHANZO ama SABABU halisi ya SINTOFAHAMU inayoikumba kambi ya Upinzani.

Kwa Muhtasari sana, niseme CHANZO na SABABU HALISI ya Upinzani kukosa muelekeo na kufikia hapa tulipo ni OMBWE la UONGOZI katika kambi hiyo ikiongozwa na CHADEMA..Mimi niliwahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, tena Kiongozi Mkubwa katika jumuiya yake ya Vijana, nilipata fursa ya kushiriki, kuhudhuria na kuchangia katika vikao na mikutano mikubwa, muhimu na nyeti ya Chama hicho.

Ilikuwa bayana kwetu kuwa, ilipofikia CHADEMA ilihitaji UONGOZI mpya utakaokuja na dira, maono na tafakuri mpya ambayo ingeki-transform chama hicho kuwa chama kamili cha siasa na kuondoa uongozi wa hamasa na mihemko ya kiuanaharakati..

Nikiwa ndani ya Vikao vya CHADEMA nikaliweka hili BAYANA kuwa tunalo ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA, sikueleweka, nikaonekana natishia maslahi ya wakubwa na nafasi zao kwenye Chama, nikaonekana ADUI na nikapewa jina MSALITI.

Ukweli ni kwamba FEDHA ambayo leo imetajwa mara kadhaa kuwa ndio sababu kuu ya mfarakano ndani ya CHADEMA, imepata njia kutokana na Ukweli kuwa CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi ambao umekosa Vision na Mission, ndio maana wakadhani FEDHA na UMAARUFU wa mtu ni mtaji wa wao kuingia Ikulu, wakasahau misingi, dhamira, imani na kiu ya Watanzania.

CHADEMA haina tabia ya kujitafakari, haijisahihishi, na wamezoea kuishi kimazoea, wanadhani kila siku ni jumapili na kila walisemalo watanzania watalikubali tu madhari limesemwa na wao, na kwamba kila muongeaji basi anasikilizwa. SIO HIVYO...!!

Leo waongeaji wa CHADEMA na WATETEZI wakuu kwenye mitandao ni YERICKO NYERERE, A man with 0.001 IQ, Anaishi katika uongo na uzushi, mpaka kila mmoja amemmpuuza, Mwanakijiji, Chahali na WATABE wengine wa maandishi yenye adili, wameikacha CHADEMA, bado CDM haijiulizi, inajivunia kuwa na YERICKO. Wasomi, watumishi, na wanataaluma wameikacha CHADEMA, bado CDM haijiulizi, wanajivunia madereva bodaboda.

Moja ya sifa ya Mwerevu, ni yule ambae haumwi na nyoka mara mbili, anayejikwaa akaanguka kisha asiishie kuangalia alipoangukia bali hugeuka kwa umakini na kutazama alipojikwaa, ni nini hasa kimemuangusha..Popularity ya CHADEMA na Upinzani imeshuka na inaendelea kushuka kwa kasi, HAWAJIULIZI.

Viongozi wameacha kuchangia hoja za msingi ndani ya Vikao, wameshikwa na woga na wengine wamesusa, Mwenyekiti Mbowe ambae Mimi binafsi nilishamuita ZERO tukiwa ndani ya Kikao changu cha Mwisho nikiwa KAMANDA wa CDM, ameendelea kwenda Mrama kwa kasi ya ajabu...kila jipya analoliamua ni baya kuliko la jana..

Juliana

Hujambo binti,

Nimesoma andishi lako, hakika lina sura mbili kuu

1. Ni andishi la kufikirika kama ulivyoanza mwanzo kwamba umekusudia kuwafikirisha tu makutano, hakika umefikirisha tu na huna uhakika na usemacho.

2. Umejitoa ufahamu na umang'amuzi wa nera katika kudurusu mambo mtambuka ya husuyo siasa na utawala, kwabahati mbaya kuyapuuza maonyo yangu lakini sitanyamaza kukuonya tena, Haiingii akilini mwanaccm unayapima mapungufu ya Yericko kwakutumia kipimo cha mwanaccm,

Kama akina Chahali na Mwanakijiji unawaamini kuwa ndio kipimo cha uthabiti wa Yericko bora Yericko awe na iq ndogo kwamaana kwa msaada na uthubutu wake taifa litapona,

Siamini kama wamekutuma uwasemee, lakini kama ndivyo basi nami naliwajua wangali hawajakutuma wewe,
Hao watu nikujuzi tu kuwa hawana msaada kwa taifa hili na ni wakimbizi ambao hata kura hawatapiga.

Chadema ni taasisi peke yakisiasa iliyoyashinda majaribu na hila chini ya Mbowe, hujiulizi kwanini?

Mbowe hana bei, bei yake ni ccm kutoka ikulu tu, Mbowe ni mwanasiasa aliyezaliwa kutoka uanaharakati. Msimamo na Financial status ya Mbowe ndio mwiba mkali kwa ccm, hilo Shonza unalitambua,

Jiulize kwanini wewe na akina Zitto mlinunulika na ccm lakini Mbowe hajanunulika na leo anatuongoza kwenda ikulu?

Nikutakie siku njema my ex honey, mwambie jamaa kuwa "aliyechonga mzinga hula asali mpaka mzinga uanguke"!
 
Tatizo kwa sasa ukawa wamekuwa defensive na sio offensive tena
 
Attachments

  • 1441964143089.jpg
    1441964143089.jpg
    33.2 KB · Views: 216
CCM bado ni Chama kinachokubalika kwa umma wa watanzania..,nimeiona nguvu hiyo leo MUSOMA.
 
Mmmmm yangu macho naombea Inchi yetu Amani tu ndolamsingi haya yote yanapita jamani Mungu atakayemchagua ndohuyo tu si niwawakilishi tu . Mungu ametuwekea mazuri yanakuja tu
 
Hilo ndiyo jibu sahihi kutoka kwa watu wa Mbeya. Umekong'otwa.
 
Juliana

Hujambo binti,

Nikutakie siku njema my ex honey, mwambie jamaa kuwa "aliyechonga mzinga hula asali mpaka mzinga uanguke"!

Duh!
Kumbe huu Mzigo wamepakuwa wengi!
Ila umenikatisha tamaa kuwa Ulimaliza Asali yote, mimi nijuavyo Sio sabuni ile kusema inaisha, kumbe duh!!

lakini Asali ikiisha Nyuki si wapo watajenga asali nyingine?
ila duh kumbe mzinga umeanguka ?
Nimeliwaaa!
 
Back
Top Bottom