Magufuli ameanza kazi: Amtosa Chenge hadharani huko Mjini Bariadi

Ndugu acha ushabiki usio na maana, numbskulls ziliuzwa kwa baraka zote toka baraza la mawaziri, ndio maana hata watu (wanasiasa)makini hawalisemei hili.

Dr. Slaa mnayesifia hata ninyi kwa umakini na misimamo alitangaza kupitia clouds fm kuwa angelikuwa raisi angemfunga magufuli jela kwa kuuza na kugawa nyumba za serikali.
 
KILA MTU ANAHAKI YA KUPIGA KURA APENDAVYO LAKINI HEBU TAFAKARI HAYA:

LOWASA

  1. Awamu ya Nyerere alikuwa na tuhuma za uwizi na kujilimbikizia mali za umma
  2. Awamu ya Mwinyi alikuwa na tuhuma za uwizi wa mali ya umma
  3. Awamu ya Mkapa alikuwa na tuhuma za wizi wa mali ya umma
  4. Awamu ya Kikwete alikuwa na tuhuma ya wizi na kutimia madaraka vibaya
Lakujiuliza jee akiwa Raisi wa Nchi na ana power ya juu kabisa nchini, kweli ataona aibu?????

MAGUFULI:

  1. Awamu ya nyerere alikuwa mwanafunzi katika malezi ya wazazi wake
  2. Awamu ya mwinyi ndio anainua kichwa kujitegemea
  3. Awamu ya Mkapa, ndio mwanzo anapewa majukumu, na anafanyakazi vizuri, anapata kashfa ya uuzaji wa nyumba za serekali.
  4. Awamu ya Kikwete wizara alizopewa zimefanya vizuri kushinda wengine.

Tafakari vizuri na kura yako isaidie kizazi cha leo na kesho.

Kwa kuwa hamkumshitaki popote na chombe pekee kimtiacho mtu hatiani ni Mahakama, wewe na wenzako ni porojo tu.

Sisi ni MABADILIKO LOWASA, LOWASA MABADILIKO hiyo ndiyo tune yetu kwa sasa tukutane 25 Oct!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ila bora ccm wamewaheshimu kidogo kwa kumpitsha mbunge fisadi agombee kuliko UKAWA waliowadharau kabisa kwa kumpitsha mliyemtaja fisadi papa kwenye list of shame kua mgombea wenu wa urais.
Kwani UKAWA wameacha kumpigia kampani mgombea wao?
 
KILA MTU ANAHAKI YA KUPIGA KURA APENDAVYO LAKINI HEBU TAFAKARI HAYA:

LOWASA

  1. Awamu ya Nyerere alikuwa na tuhuma za uwizi na kujilimbikizia mali za umma
  2. Awamu ya Mwinyi alikuwa na tuhuma za uwizi wa mali ya umma
  3. Awamu ya Mkapa alikuwa na tuhuma za wizi wa mali ya umma
  4. Awamu ya Kikwete alikuwa na tuhuma ya wizi na kutimia madaraka vibaya
Lakujiuliza jee akiwa Raisi wa Nchi na ana power ya juu kabisa nchini, kweli ataona aibu?????

MAGUFULI:

  1. Awamu ya nyerere alikuwa mwanafunzi katika malezi ya wazazi wake
  2. Awamu ya mwinyi ndio anainua kichwa kujitegemea
  3. Awamu ya Mkapa, ndio mwanzo anapewa majukumu, na anafanyakazi vizuri, anapata kashfa ya uuzaji wa nyumba za serekali.
  4. Awamu ya Kikwete wizara alizopewa zimefanya vizuri kushinda wengine.

Tafakari vizuri na kura yako isaidie kizazi cha leo na kesho.

Kwa kauli zako tu hapo juu ni jibu tosha kuonesha kuwa EL ndo rais kwa sababu yy alikuwa anatuhumiwa na haijawahi thibitika hata moja. Mwingine huyo ana kashfa ambayo yaweza kuwa ni hatua itokanayo na kujirithisha baada ya tuhuma. Hata hivyo sisiem haina pa kukwepea juu ya Ufisadi kwa sababu ndo inayo kusanya kodi zetu na kashfa zote zinatokea chini ya uongozi wake.
 
KILA MTU ANAHAKI YA KUPIGA KURA APENDAVYO LAKINI HEBU TAFAKARI HAYA:

LOWASA

  1. Awamu ya Nyerere alikuwa na tuhuma za uwizi na kujilimbikizia mali za umma
  2. Awamu ya Mwinyi alikuwa na tuhuma za uwizi wa mali ya umma
  3. Awamu ya Mkapa alikuwa na tuhuma za wizi wa mali ya umma
  4. Awamu ya Kikwete alikuwa na tuhuma ya wizi na kutimia madaraka vibaya
Lakujiuliza jee akiwa Raisi wa Nchi na ana power ya juu kabisa nchini, kweli ataona aibu?????

MAGUFULI:

  1. Awamu ya nyerere alikuwa mwanafunzi katika malezi ya wazazi wake
  2. Awamu ya mwinyi ndio anainua kichwa kujitegemea
  3. Awamu ya Mkapa, ndio mwanzo anapewa majukumu, na anafanyakazi vizuri, anapata kashfa ya uuzaji wa nyumba za serekali.
  4. Awamu ya Kikwete wizara alizopewa zimefanya vizuri kushinda wengine.

Tafakari vizuri na kura yako isaidie kizazi cha leo na kesho.

Mali za umma sawa lakini mali zipi hizo mbona hazitajwi? Isitoshe kwa awamu zote hizo mahakama iko wapi haliyakuwa wezi wa kuku wanaukumiwa kila uchao sasa huyu fisadi papa kama mnavyotuaminisha kwa awamu zote hizo kwanini hadi leo ajashitakiwa
 
ukawa walikua wanasubiri magufuli amnadi chenge ili waseme anaenda kinyume na anachosema, hajamnadi wanaponda inahitajika akili ya ziada kwa kweli kuwaelewa.

hapa kazi tu
 
Attachments

  • 1442229795637.jpg
    1442229795637.jpg
    21.3 KB · Views: 274
Kashfa ya kuuza nyumba za serikali c kashfa iyo.....je na hizi za barabara zilizo chini ya kiwango mayo c kashfa haya na malipo ya wakandarasi je....tusiangalie upande mmoja wa shilingii...hakuna alie safi ndani hapa duniani.Hata huyu mgombea wa CCM pia ana mabomu yake pia.
 
Magufuli ndie rais tuliemuhitaji kw muda mrefu sana.

Kiufupi namkubali Magufuli na naahidi nitampakula yangu oct 25

Nilikuwa Chadema muda mrefu sana kabla ya Saccos yetu kuuzwa. Ila kwa sasa mi kura yangu ni kwa Magufuli, naamini

huyu ndiye mtu imara wa kuliongoza taifa hili.

Huyu mzee hana mbwembwe wala hana tamaa, yeye alifanya michakato yake kwa utaratibu mzuri na kufuata sheria zote

za chama chake. Siyo mtu mwenye mitandao isiyoeleweka, hana makundi ya ajabu.

Magufuli kura yangu anayao aisee angalau wengi CCM siwakubali kabisa, wengi wameshatutia hasara sana.
 
Watu wanaleta ushabiki na sio facts...!
Ukweli utabaki pale pale Magufuli ndio jibu la Watanzania Kwa wakat huu..!#Hapakazitu..!
 
Jamar Said

Jeshi la mtu mmoja haliwezi shinda ... KAMA MNAWEZA MNYANG'ANYENI KADI YA CHAMA.. AU MTIMUENI CHAMANI... vinginevyo atarevenge ndani ya chama....

NI HIVI... Chenge kateuliwa na CCM kugombea jimbo hilo... leo hii Magufuli anapoyafanya hayo, maana yake anakwenda kinyume na msimamo wa chama... Sasa kwa kufanya hivyo, ina maana yupo tayari jimbo lichukuliwe na upinzani..???

Pili kama kweli ana nia ya kudili na mafisadi, basi akaichukue ile list ya Dr. Slaa na aanze kuhangaika na mmoja baada ya mwingine... That means JK naye ashughurike naye..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom