Recent content by sakatonge

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Zanzibar

    na mimi naomba bei tafadhali
  2. S

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wazidi kutafuna posho zaidi

    Kuwa uyaone kuna mazingira ukiwa na shida no way out hawa vijana wanakengenezea mazingira mpaka utatoa tu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wazidi kutafuna posho zaidi

    Dar hao jamaa noma kwa rushwa we acha tu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Da uhamiaji noma

    Hawa jamaa noma kwa rushwa kila siku nilikua naskia tu sasa najionea mwenyewa, nilienda makao makuu pale zanzibar jamaa wa dirishani wakaona naomba Pass port ya biashara baada ya kukagua maombi yangu nikafunga finger print fresh nikaambia nenda baada ya wiki mbili wiki ya pili wakanambia lete...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ninaunga mkono Israel kuitetea na kuilinda nchi yao ya AHADI

    Usisahau kuwa mungu anaugeuza usiku kua mchana
  6. S

    JamiiForums Tanzania Bernad Membe watanzania hatuna undugu na wapalestina

    Kumbe israil ni taifa la mungu na tz
  7. S

    JamiiForums Tanzania PPF interview pale DUCE

    Uwanja wa taifa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba unatupeleka wapi? Exchange rate ya dola leo ni tsh.1,685/=

    FaizaFoxy Mbali ya ulicho kizinguza lakini issue ya exchange rate ina impact kubwa kwenye uchumi wa nchi, kwenye ulimwengu wa utandawazi na international trade. hebu rudi nyuma kidogo kama exchange rate haina athari kwa nini nchi za magharibi zilidemand tushushe thamani ya fedha yetu ili iweze...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba unatupeleka wapi? Exchange rate ya dola leo ni tsh.1,685/=

    Issue sio exchange rate issue ni pp ya ndani ya nchi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kutengewa 21% ajira katika wizara za Muungano

    Ww umesoma ulaya labda pengine uko tofauti maana hawo wenzako tunaosoma nao ni vilaza mbaya eti wanaitwa wana one za six duu, labda wakali wa ku copy hamna lolote bora sisi tunaokotwa.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

    Wewe uliwahi kufikifi watanganyika wangapi wako zanzibar kama bado sikuhadithii fika uone.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

    Tatize leo watanganyika moja munajifanya muna elimu lakini ni wavivu wa kufikiri, hivi unazani kama mnatutunza na hatutaki kwa nn mnatungangania shauri lenu itawagharimu baadae.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Alli Kessy nusura apigwe na wabunge wenzake

    Kama mmetubeba kama unavyohisi (maana kama mungekua na elimu kama munavyojigamba musinge fikia hapo) na mumechoka kama unavyosema si mtutue tu wacheni upimbi uwo.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Alli Kessy nusura apigwe na wabunge wenzake

    Kwani tumeanza leo mbomba kitambo. Hebu jaribuni muone.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Alli Kessy nusura apigwe na wabunge wenzake

    Sisi hatusemi hatutaki umeme tu, sisi tunasema hatutaki muungano umeme tu mbona dogo tu ilo.
Back
Top Bottom