PPF interview pale DUCE

PPF interview pale DUCE

Guys hii ya jmos nu nyingne sio iyo waliobandika majina.mimi nilipigiwa simu juz alaf sikuweza kupokea ILA Leo nmeipigia wameniambia Ni jmos alaf Ni written wamenambia niende na kitambulsho na pen,sasa naomba kuuliza kwa aliyepigiwa simu walisema saa ngapi?maana mm simu imekatika kabla hajanambia vizuri huo mda WA interview.please help urgently guys

Ndg naomba unijulishe hiyo ya juma mosi ni duce au UCC maana ata sielewi asubuh nielekee wap plz jaman, then kuhusu tym niliambiwa ni asubuh nadhan ni vyema uwah mapema ktk eneo la tukio. Plz jaman tuambiane eneo la tukio
 
Kila mmoja hajasikia vizuri!Mara hawajasema muda...si mungewauliza..hiyo ni interview mmefeli pia
 
Ni saa ngapi jamani hyo interview, na wanahitaji vitu gani uende navyo?
 
Kazi ipo yaani candidates wooote,hakuna aliyepata ujumbe kamili,cm nilikuwa kijijini,cm ilikata,kweli nyie ni trainees
 
We endelea kushupaza shingo ilhali attention to details mpaka hapo una 0%,utaona kwa nini waajiri wengi hutaka uzoefu
 
Back
Top Bottom