Nyumba inauzwa Zanzibar

Nyumba inauzwa Zanzibar

hedaya

Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
33
Reaction score
1
Nyumba yangu nauza ipo mtaa wa kilimani mjini ni old house ina vyumba vya ndani na nje iko pembeni ya hospitali ya ALRAHMA hospital iko in very good condition ni ya chini serious buyer please contact me 0785996663
 
mtu wa bara hupati kitu huko....
 
Ok dotsum check inbox yako majib yamekuja
 
Bi Hedaya,ni ya ngapi pale kutoka kwa Mzee Ally mwinyi?
Maana najua atakuwa jirani yako,au ni ule upende wa Island View Hotel?
 
Nyumba yangu nauza ipo mtaa wa kilimani mjini ni old house ina vyumba vya ndani na nje iko pembeni ya hospitali ya ALRAHMA hospital iko in very good condition ni ya chini serious buyer please contact me 0785996663
na mimi naomba bei tafadhali
 
Tatizo ni kuchapwa fimbo kipindi cha Ramadhan.
 
Hilo tangazo ni kwaajili ya waZanzibar tu hakuna mTanganyika kutia pua hapo dio maana tunahitaji katiba mpya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom