Mh. Alli Kessy nusura apigwe na wabunge wenzake

nawapa link mbona zamani wazanzibari washasema hawataki muungano huu uliopo... ama uwepo mwengine au Basi ndio wanavyotaka

unafkiria kinacholindwa hapa ni chama cha ccm zanzibar na sio hoja za kisomi ndio maana ukifuatlia mijadala ya wazanzibari utaona wanangangania vyama vya siasa visiwe vya muungano ili wawe na vyao kuepusha haya mashaka yalikuwepo bungeni

nasema hivi nnauthibitisho niliwahi tizama midahalo yao wakisema vyama vya siasa ndio vinavyotupa tabu ndio moja wakaamua kuleta serekali ya kitaifa ya pili wanagombania hili vyama vya siasa viwe tafauti kusudi wanapokuja katika bunge waje kama wazanzibari na sio ma ccm na ma cuf.

Kamati ya Maridhiano Six: MJUMBE WA KAMATI YA MARIDHIANO, EDDY RIAMY; 31/08/2013 - YouTube

hiii tosha ccm zanzibar inalazimishwa na watanganyika,

kama hujaelewa apo labda uwe ccm ambae ni rust

And the truth shall set CCM big timers free.
 
Nawashangaa hawa Wabunge Wazanzibari, Ally Kessy jana kawasaidia sana lakini kwa fikra zao finyu hawakuliona hilo.

I think Zanzibar MPs does not need Keissy tution support especially thos two genlemen. What they were complaining is that sarcastic undertones of Ali Keissy. How can you say such things like calling them by a whistle to people whom even CCM hope to 'win' their hearts and minds in their capacity to meet their daily demands and so in the next comming elections?
 
Zanzibar kama kweli wanautaka muungano lazima wachangie gharama zake.Asante mheshimiwa Kessy.
 
Ina maana mkuu unanyonywa pole kwa hilo lakini unaweza kueleza ni jimbo gani unaloweza kupuliza penga wakasikia watu wake wote halafu nashangaa wabunge wa ccm kutoka z'bar walivyokuwa wanafaki na wenye kujali maslahi yao na chama kama maneno hayo angaliyasema mpinzani ungelisikia kelele zao za unafiki.
Hiyo lugha sio nzuri lakini kwanini z.bar watake 50% kila kitu wakati wao ni wachache na unajua wote tunashea kasungura?
 
Kama mmetubeba kama unavyohisi (maana kama mungekua na elimu kama munavyojigamba musinge fikia hapo) na mumechoka kama unavyosema si mtutue tu wacheni upimbi uwo.

Hii lugha ni ya pande zipi mkuu!!! Kiembesamaki, Kojani, Kwamtipula, pande ya wapi hii.
 
Fafanua kidogo dada nione kama nilivyo kusoma ni sahihi.

Ally Kessy kawa "provoke" kwa kauli zake, kwa watu wanaotaka nchi yao isinyanyasike hapo ndipo palikuwa pazuri kupang'ang'ania, lakini wao wamemzomokea Ally Kessy badala ya kuuzozomokea Muungano ambao siku zote wanasema unawaonea. Ally Kessy aliwapa pakuanzia tena pazuri sana, hawajaiona hiyo "opportunity".
 
Because that is the rule of engagment "inchi mbili" not.provincial partners.
Sasa wewe singa singa kweli hujaelewa na nionavyo hutaelewa.Hapa swali ni kwanini upande 1 ndio uchangie mwingie uwe kama mke golikipa?
 
Back
Top Bottom