Recent content by saiwello john kumwenda

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais hana hotuba mpya, zote zilipendwa!

    Lakini haiko sahihi inawezekana huwa humsikilizi vizuri
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais hana hotuba mpya, zote zilipendwa!

    Perception na opinion yako, unayo Haki kuitoa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tabia Nane za watu wapole

    Kumbukeni kuna upole na ukimya. Dalili Kubwa ya mpole hachikii haraka hata kama ni mwongeaji Sana ILA mkimya haongei lakini nirahisi kumvaa yeyote na hasamehi na walk hamalizi ugomvi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini toka kwa mfalme Suleiman?

    Kila uombapo kwaMUNGU BABA usiombe unavyotamani ndani ya nafsi yako Bali omba tu akili, hekima na ufahamu wa MUNGU BABA, utapata kila jambo zuri la ufalme wake na ukivapata epuka sheria ya dhambi ili asikunyang'anye alivyokutunuku.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kamisheni za Magufuli kwa JWTZ za aina yake

    Hiyo ni hekima ya MUNGU Baba nayo huwapa wale tu awapendao ili wafurahie utawala wa amani
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Wamalize matatizo yao kwanza, sasa hivi Hawana hata morrow authority yoyote ya kuchangamkia ya wenzao wakati wao, inter Alia, wanandoa za jinsia moja aibuuuuuuuuu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Serikali ya Tanzania kuchukiwa na idadi kubwa ya vijana wake. Tatizo la msingi ni nini?

    Utafiti huu ameufanya nani? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la IMMMA: Rais wa TLS, Tundu Lissu atoa maazimio ya Baraza la Uongozi. Wapanga kugoma siku mbili

    Chama chochote kinafikia maamuzi kwa vikao na maazimio,je kwa nini usiitishwe mkutano mkuu wa dharura ili kufikia maamuzi ya pamoja ili kuepusha migongano ya maslahi isiyo ya razima,maana learned brothers sharti wawe tofauti sana ktk kuamua Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    JamiiForums Tanzania Vita vya Zarithebosslady havijawahi kumuacha mtu salama

    Mm jaaaa@
  11. S

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa mawakili wote wanaopanga kuandamana kesho kwa ajili ya Lissu

    Wakili wa kweli hawezi kuandamana bali kama kweli analake moyoni ataenda Mahakamani hivyo atakaye andamana ujue huyo ni si learned Brother Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufanya fujo na kuharibu mali za shule, tutubu hapa

    Hongera soma Isaya 57:15 Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufanya fujo na kuharibu mali za shule, tutubu hapa

    Naungana na wewe sana maana MUNGU BABA anawapenda wenye moyo wa kutubu na wasio jihesabia haki ,ambao kila siku wanawaonyeshea vidole badala wenzao bila wao kjichanguza na kutubu. Isaya 57;15.Pia Nina mtukuza sana MUNGU BABA aliyemo ndani ya Raisi wangu Hon MAGUFURI kwa toba aliyofanya ktk shule...
Back
Top Bottom