Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,652
Sio vijana. Sasa hata wazee. Nmetoka juzi vijijini wazee wanaichukia ovyo. Wazee walizoea kupata luzuku za pembejeo ila toka magufuli aingie hawajaona kitu kma luzuku. Wengi wanalia njaa
Sio vijana. Sasa hata wazee. Nmetoka juzi vijijini wazee wanaichukia ovyo. Wazee walizoea kupata luzuku za pembejeo ila toka magufuli aingie hawajaona kitu kma luzuku. Wengi wanalia njaa
aiseee hatari saanaaHawo unaowasema hapa ni wale wenye uthubutu wa kusema Sasa bado wale wanaotukania moyoni hasa watumishi na wale wanaoamuaga kuongea wenyewe wakiwa peke yao, na wale wote wanaoisifia hii serkali wakapimwe mkojo na ikiwezekana wakapimwe na vinukta vinavyoachwa na ule upepo Kenya wanauita UNYAMBO
Polepole ni kijana? Sio Mzee yule?Mbona wanaipenda tuuu! Hujawaona vijana kama akina pole pole, mmm, akina sisi, akina Mwalla, au vijana gan unawazungumzia?
Wengi sana wanapenda kuitukanaMbona wanaipenda tuuu! Hujawaona vijana kama akina pole pole, mmm, akina sisi, akina Mwalla, au vijana gan unawazungumzia?
Acha kujipendekeza kijana wewePicha hapo chini zinaonesha jitihada za serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama katika kusaidia wahanga wa ajali ya bus la wanafunzi wa shule ya Lucky Vincent iliyotokea wilayani Karatu katika mkoa wa Arusha.
View attachment 527790
View attachment 527792
Licha ya juhudi zote hizi bado vijana wanatukana sana serikali yao? Tatizo ni nini hasa?
Gharama zote za mazishi kuanzia jeneza, mochwari, usafirishwaji wa miili mpaka majumbani mwa wafiwa, the government paid all these, but guys hawapo thankful kabisa? Kila siku ni matusi na kejeli kwa nchi yao, kwanini?
Ina maana hakuna jema serikali inalofanya hata kustahili sifa?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Viongozi wenu wanajituma sana kuwahudumia kadri ya uwezo wao na hali ya uchumi wa nchi. Learn to be thankful hata kwa vitu vidogo kama hivi.
Najua nitatukanwa, kukejeliwa na kuitwa najipendekeza na kila aina ya jina, lakini tatizo la msingi ni lipi kati ya vijana na serikali yetu ya Tanzania?
Nothing is easier than blaming others for your own problems. Hakuna jambo rahisi kama kulalamikia serikali kwa matatizo yako wewe mwenyewe.
Nawasilisha.
Serikali gani ililipia hizo ghalama? Hozo ghalama zililipwa kwa michango ya watuGharama zote za mazishi kuanzia jeneza, mochwari, usafirishwaji wa miili mpaka majumbani mwa wafiwa, the government paid all these, but guys hawapo thankful kabisa? Kila siku ni matusi na kejeli kwa nchi yao, kwanini?
.
Tanzania hamna upungufu wa wapuuzi Kama wewe.Vijana wanaoichukia Serikali ni wale wanaomsikiliza Gwajima.Tundu Lissu na Mange.
Wengine hawana shida
Na tumeshuhudia wenyewe kwenye number ya walioitikia usaili wa ajira za hivi karibuni...Wapo bitter...Lakini ndani ya moyo wangu nashangaa kabisa kwanini ajira iwe kitu kigumu kwa vijana, this will never understand kwa nchi yenye rasilimali kama yetu...I just pray we all understand we are cheated tangu tulivyofundishwa na jinsi mataifa yanayoendelea yanavyozidi kutuletea proposal zenyekusababisha kila siku tusitoke kwenye status quo yetu...Nchi inayoendelea inakosaje ajira? Matatizo yote haya hakuna ajira how?Vijana wengi wanaomaliza masomo na kukosa ajira ni bomu ambalo serikali inaliandaa bila kujijua...
Ccm imetulogaMbona matusi kila siku humu JF kwa Serikali? Sisi vijana nani ameturoga?
HakikaVijana wengi wanaomaliza masomo na kukosa ajira ni bomu ambalo serikali inaliandaa bila kujijua...
tafuta video za tra kwenye interview uone ule umati unahisi wataipenda serikali yao???Picha hapo chini zinaonesha jitihada za serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama katika kusaidia wahanga wa ajali ya bus la wanafunzi wa shule ya Lucky Vincent iliyotokea wilayani Karatu katika mkoa wa Arusha.
View attachment 527790
View attachment 527792
Licha ya juhudi zote hizi bado vijana wanatukana sana serikali yao? Tatizo ni nini hasa?
Gharama zote za mazishi kuanzia jeneza, mochwari, usafirishwaji wa miili mpaka majumbani mwa wafiwa, the government paid all these, but guys hawapo thankful kabisa? Kila siku ni matusi na kejeli kwa nchi yao, kwanini?
Ina maana hakuna jema serikali inalofanya hata kustahili sifa?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Viongozi wenu wanajituma sana kuwahudumia kadri ya uwezo wao na hali ya uchumi wa nchi. Learn to be thankful hata kwa vitu vidogo kama hivi.
Najua nitatukanwa, kukejeliwa na kuitwa najipendekeza na kila aina ya jina, lakini tatizo la msingi ni lipi kati ya vijana na serikali yetu ya Tanzania?
Nothing is easier than blaming others for your own problems. Hakuna jambo rahisi kama kulalamikia serikali kwa matatizo yako wewe mwenyewe.
Nawasilisha.
Wewe umejiajiri kwenye nini?Vijana wajifunze kujiajiri na sio kukaa wanalalamika tu kila uchao
Vijana wengi wanaomaliza masomo na kukosa ajira ni bomu ambalo serikali inaliandaa bila kujijua...