Jamaa aliandika topic pamoja na Nape wanatakiwa wakapimwe akili kwa kweli . Nchi ishauzwa siku nyingi.
Chadema wanataka kuikombowa:
1. Kwa sasa Unalipia Fire extinguisher 30,000/= just to certify it , hapo hujanunua .Unakwenda magereza kisongo Arusha , unalipia barabara 500/=...
Mtoa maada ni zezeta , Anatakiwa kuwajibisha sereikali yake ambayo imeshindwa kazi na kuipeleka kwa wananchi kwa kuahidi 10 m kama watatoa taarifa kuhusu mauaji ya chai.
Mtoa mada ni mjinga sana He can not think through the end.
Naunga Mkono Kiongozi , Ni kweili kama JK amesema ni upepo kwanza usemi wake ni kweli kwani anajua wazi kwamba wabunge wa CCM hawamanishi wanachokisema bale bungeni sote tumeona wawili tu ndio wamejiandikisha kutokuwa na imani na utendaji wa MP.
2. Kusema kwamba ni...
Big up movement for Change .
Mh. mdee alilianzisha kuwataka wabunge wasilalamike ila wafanye maamuzi . Kwani wanauwezo huo.
Lisu na Zitto wakapigia msumari.
Ndio leo mawazi watajibu kama unaserikali au la! kwani wabunge waliuliza kama kuna serikali kweli wakati kila idara kuna mamilioni ya fedha hamitumiwa visivyo.
Katika Hoja binafsi nashauri Mh . Visenti Nyerere atoe hoja ya kuondoa pensheni kwa Mkapa na viongozi , Raisi mtaafu atakaye jishuhulisha na Siasa ( kampeni ) kwani anatumia kodi zetu.
Pia kuhoji Waziri mkuu Pinda , Kutumia ufunguzi wa wa chuo cha VETA (Pwani) kunadi CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.