Kifo cha mwenyekiti wa CHADEMA Usa river-Arumeru - Arusha

Mi cdm damu,ukisema 2chunguze utakuwa unaingilia kazi ya polisi..2silaumu chama.
Hatulaumu chama ila polisi tujuavyo hawawezi kutupa majibu stahiki,walau ilitakiwa cdm mkoa waweke kambi walau wiki wakitafiti na pia liwepo tamko kali kwenda ikulu na ccm kwa ujumla,LAKINI HAYO YOTE HAYAJAFANYIKA
 
NIMEJARIBU KUTAFAKARI KIFO HICHI NIMEPITA PICHA HALISI YA SIASA ZA TZ BAADHI NI:-
  • Watanzania tuna siasa za chuki na za kulipana kisasi ,hii ni kutokana na tulivoiweka siasa maana unakuta uchaguzi mdogo mgombea mmoja bajeti anayotumia inakaribia mil 600,ukijiuliza kazitoa wapi?,atazilipaje? hupati jibu,Kutokea yaliyotokea inakuwa kitu cha kawaida maana anayeshindwa anayeruhiwa vibaya sana kiuchumi.
  • VYAMA VYETU TUNAVYOVISHABIKIA VIKO KIMASLAHI ZAIDI HAVIJALI WATU WAKEN NADHANI UTAKUWA UMETUMWA MBONA UNAONEKANA KAMA MAMLUKI?
 
Hakuna maana kujiita CDM damu wakati huwezi kujibu hoja ya mleta mada. Sote tulisikia yaliyosemwa siku ya mazishi ya mwenyekiti sasa unataka nini. Wewe ondoka tu maana CDM inaundwa na wanaojitolea kwa hali na mali hata maisha pia. Kumbuka watu wengi sana wamekufa hapa dunia wakidai haki ambao mimi na wewe tunajivunia. Soma alama na historia ya dunia. Shame on you.
HAPANA huwezi kuniziba mdomo wamekufa wanamapinduzi wengi kama Martin Luther king lakini wameacha historia na heshima,
Ukiangalia huyo mwenyekiti wetu alivyozikwa huwezi amini kama kweli chadema wamechukulia kirahisi namna ile yaani kwanza wameenda wabunge wawili tu ,alafu ukiangalia hata status ya mazishi haiyonyeshi kama ni ya mwanamapindizi,cdm wamerahisisha sana mazishi yale,hata jeneza ukiliona sana ni elfu 50 au 70 yaani ni mbao tu imepigwa polish,YAANI WAMEKOSA LAKI NA NUSU YA JENEZA LA KAWAIDA TU NA KUMFANYIA SHEREHE YAKE YA MWISHO DUNIANI KWA HESHIMA JAMANI.
Mimi ni mwanacdm na nimeshakuwa kiongozi wa matawi kadhaa hapa ubungo lakini watu hatujafurahi namna hili swala lilivyochukuliwa kikawaida kawaida tu,maana leo kiongozi wa chini kafa kwa kuuwawa ,kesho ikitokea kwangu au kwako amabye ni shabiki tu na uzikwe kikawaida tu itakuwaje??
Mbona akifa kiongozi makao makuu kama regia mtema viongozi wote hufurika tena HAJAUWAWA,sasa huyu aliyeuwawa tena akiwa kazini?SHAME UPON YOU
 
nimejaribu kutafakari kifo hichi nimepita picha halisi ya siasa za tz baadhi ni:-
  • watanzania tuna siasa za chuki na za kulipana kisasi ,hii ni kutokana na tulivoiweka siasa maana unakuta uchaguzi mdogo mgombea mmoja bajeti anayotumia inakaribia mil 600,ukijiuliza kazitoa wapi?,atazilipaje? Hupati jibu,kutokea yaliyotokea inakuwa kitu cha kawaida maana anayeshindwa anayeruhiwa vibaya sana kiuchumi.
  • vyama vyetu tunavyovishabikia viko kimaslahi zaidi havijali watu wake:-angalia mwenyekiti amekufa chadema kama chadema wametuma tu wabunge wawili wamezika hakuna kinachoendelea,hatujasikia kama wameunda timu kuchunguza mauaji au kutoa onyo kwa serikali ,wako kimya,sasa vyama vya siasa kama cdm kuna umuhimu gani kushabikia.wakati viongozi hawa value watu.

je una uthibitisho juu ya unayosema? Ulitaka wakuambie kuwa wameunda timu ili uvuruge? Ama wote wangeenda kumzika angefufuka?
 
huna hata ya uchadema we ni gamba, tena unafurahia ukiona hivi vitendo ukitumaini watu watarudi nyuma katika harakati za kulikomboa taifa. Hatutakata tamaa kamwe
 
Nikisema mtoa mada ni Mpumbavu wengine watasema nimemwonea! Basi wacha nisisema hivyo.
Kwanza kabisa wewe si mwanachadema ndiyo maana hujui nini kiliendelea.
Pili hujui utaratibu wa uwakilishi wa chama au taasisi kwenye mazishi.
Tatu hujui taratibu za kutoa tamko. Chama makini lazima itafakari, ifanye uchunguzi wa tukio siyo kukurupuka kama wewe unavyotaka.
Vile vile nchi hii kuna taratibu za kisheria, ambayo uchunguzi wa tukio unafanywa na idara ya upelelezi. CDM kuingilia uchunguzi wa jeshi la polisi ni kukiuka taratibu za upelelezi, lakini inaweza kufanya uchunguzi wake kimya kimya then inakuja na conclusion.

Wewe siyo CHADEMA

Mkuu nilitaka kuchangia lakini baada ya kupitia thread yako nikaona umemaliza yote yaliyokua nichangie!nachoweza kuitimisha ni BIG LIKE kwa comment yako
 
NIMEJARIBU KUTAFAKARI KIFO HICHI NIMEPITA PICHA HALISI YA SIASA ZA TZ BAADHI NI:-
  • Watanzania tuna siasa za chuki na za kulipana kisasi ,hii ni kutokana na tulivoiweka siasa maana unakuta uchaguzi mdogo mgombea mmoja bajeti anayotumia inakaribia mil 600,ukijiuliza kazitoa wapi?,atazilipaje? hupati jibu,Kutokea yaliyotokea inakuwa kitu cha kawaida maana anayeshindwa anayeruhiwa vibaya sana kiuchumi.
  • VYAMA VYETU TUNAVYOVISHABIKIA VIKO KIMASLAHI ZAIDI HAVIJALI WATU WAKE:-Angalia Mwenyekiti amekufa chadema kama chadema wametuma tu wabunge wawili wamezika hakuna kinachoendelea,hatujasikia kama wameunda timu kuchunguza mauaji au kutoa onyo kwa serikali ,wako kimya,SASA VYAMA VYA SIASA KAMA CDM kuna umuhimu gani kushabikia.wakati viongozi hawa value watu.

Mauji ya mtanzania yeyote yule ni criminal case. Na mwenye authority ya kufanya uchunguzi wa criminal case ni Polisi. CDM hata kama wangeenda uongozi mzima bado mwenyekiti kauwawa na hatarudi, ila mbaya zaidi CDM ingeonekana inaingiza siasa kwenye issue sensitive kama hii. Kumbuka kuwa mwanzo wa moto ni cheche, kama CDM itafanya mauaji haya kuyafanya kuwa ni CCM V CDM, ni dhahiri umakini wa CDM ungekuwa questioned. Amani ya nchi haina chama wala hakuna chama kinachoweza kujigamba kuwa kinadumisha amani bali amani nbi hulka ya watanzania. Hebu fikiria pale kiongozi wa CDM anapanda jukwaani na kutoa ultimatum kwa polisi au CCM and then baada ya siku kadhaa kiongozi wa CCM anakutwa amefanyiziwa, what will be next?.

Sometimes tuwe tunatype tu kwa kuwa tupo nyuma ya PC zetu lakini linapokuja suala sensitive kama mauaji ya Mkt wa CDM tuwaachie polisi, ninaimani kuwa baada ya kusuasua na kuwapa pressure watafanya kazi stahiki. Nafikiri kwenye hili tuwapongeze sana CDM kwa kuwa responsible party, maana waswahili husema ukivuliwa nguo chutama, ukimkimbiza aliyekuvua utaumbuka na kuonekana hayawani. Kwenye hili CDM wamechutama, huku wakiomba aliyewavua nguo akamatwe.

Mimi ninaamini kabisa kuwa kama polisi na usalama wa Taifa hawahusiki na mauaji haya kama 'provocation kwa CDM' basi dhahiri wauaji watatiwa nguvuni very soon, wakicheza na hili watakuwa si tu wanaikomoa sheria bali pia wanaikomoa CCM na nchi kwa ujumla, maana pole pole watakuwa wanapanda mbegu za visasi miongoni mwa watanzania mabayo kwa muda mrefu imekosa mbolea na maji miongoni mwa watanzania.
 
Mtoa mada anajaribu kupima upepo, kosa lake kaingilia jikoni.
Hakuna mwanachama wa chadema mshenzi vile, lazima atakuwa gamba la juha
Mkuu nilitaka kuchangia lakini baada ya kupitia thread yako nikaona umemaliza yote yaliyokua nichangie!nachoweza kuitimisha ni BIG LIKE kwa comment yako
 
Mtoa mada anajaribu kupima upepo, kosa lake kaingilia jikoni.
Hakuna mwanachama wa chadema mshenzi vile, lazima atakuwa gamba la juha

Sahihi kabisa mkuu,supporters wengi wa magamba uwa ni majuha wa kutupwa,sijui ni kwa nini wanakuwa hawapo vizuri kabisa upstairz!comment zao wengi wao zinatosha kuwajua ni watu wenye uwezo gani vichwani
 
Mtoa maada ni zezeta , Anatakiwa kuwajibisha sereikali yake ambayo imeshindwa kazi na kuipeleka kwa wananchi kwa kuahidi 10 m kama watatoa taarifa kuhusu mauaji ya chai.
Mtoa mada ni mjinga sana He can not think through the end.
 
Polepole, utakuwa upo kijijini na hujui nini kinaendelea duniani. Ulofa wako usiuexpose kwa jamii erevu. Pole mdau mzembe!
vyote vinavyojadiliwa hapa huwa vimeshazungumzwa lakini wengi ndio kwanza wanapata habari wakiwa hapa ina maana wao ni wazembe?tunatofautiana majukumu,mazingira na vitu vingi sio wote tunaweza sikiliza news muda unaosikiliza wewe,UNGEKUWA NA HEKIMA UNGETOA ELIMU ,lakini unaita watu wazembe.NAPATA PICHA WATU NILIONAO CHADEMA WANAAKILI ZA NAMNA GANI NA SI DHANI KAMA NIKIWA NA WATU KAMA NYIE TUTAKOMBOA TAIFA HILI
 
Nikisema mtoa mada ni Mpumbavu wengine watasema nimemwonea! Basi wacha nisisema hivyo.
Kwanza kabisa wewe si mwanachadema ndiyo maana hujui nini kiliendelea.
Pili hujui utaratibu wa uwakilishi wa chama au taasisi kwenye mazishi.
Tatu hujui taratibu za kutoa tamko. Chama makini lazima itafakari, ifanye uchunguzi wa tukio siyo kukurupuka kama wewe unavyotaka.
Vile vile nchi hii kuna taratibu za kisheria, ambayo uchunguzi wa tukio unafanywa na idara ya upelelezi. CDM kuingilia uchunguzi wa jeshi la polisi ni kukiuka taratibu za upelelezi, lakini inaweza kufanya uchunguzi wake kimya kimya then inakuja na conclusion.

Wewe siyo CHADEMA
Wewe ni kiongozi wa chadema?nijibu ili nijue kama na wewe ni mmoja wapo nijitoe rasmi,maana nina uhakika na ninachokisema,sikutegemea majibu hewa kama yako
 
Kazi ya Kukulinda wewe, na mimi na mwingineyo yeyote katika jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kazi ya Serekali iliyopo madarakani, na kama serekali imeshindwa kuwalinda wananchi wake inasubiri Matamko ya wana siasa Ujue Kuna Tatizo Kubwa sana!! Unless ututhibitishie Kuwa Jeshi la polisi Linafanya kazi yake kwa shinikizo la wanasiasa.
Ila pia Ujue wauwaji wameshafanya Uhalifu wao (Na Mungu awalaani) Kitendo cha CDM kutuma mwakilishi naona ni sawa Kabisa ila Ningeomba lile Wazo la wanachama Kuchangia Hela Kwa Ajili ya Kuwasemesha Watoto Waliobaki Hai Lizingatiwe!! Hata kwa Michango ya wanachama
Ni vizuri mkuu ulivyoongea kweli yanayotokea ni mapungufu ya serikali lakini niliongelea suala la namna mazishi yalivyochukuliwa na status ya yule mtu
Kuhusu kusomesha watoto watatu wanaaonekana ni shule ya msingi,kusema michango ichangishwe ni kitu cha ajabu sana maana ni suala la chakula na ada,chakula ni kitu endelevu sana inahitajika wawe chini ya mradi fulani sio kupewa rambi rambi lakini ada za shule ya msingi watoto watatu wote kwa mwaka sidhani kama laki inafika ,ni kiongozi mmoja tu kujitollea kuangalia elimu yao.
 
Mtoa ni upepo zaid ya Mbatia. Na ni CCM ila anataka kuchota akilia za watu makini. Ameingilia mlango wa kutokea.
 
Mtoa maada ni zezeta , Anatakiwa kuwajibisha sereikali yake ambayo imeshindwa kazi na kuipeleka kwa wananchi kwa kuahidi 10 m kama watatoa taarifa kuhusu mauaji ya chai.
Mtoa mada ni mjinga sana He can not think through the end.
Viongozi cdm wanadharau watu,mbon regina mtema walienda wabunge wengi kumzika?alifufuka?huyu hata jeneza limekosekana,huwezi amini mwanamapinduzi anazikwa namna ile
 
1. Sio kila mtu alimsikia Mnyika, so ulichopaswa kusema ni kumwambia mtoa mada Mnyika aliongea nini wakati analitolea jambo ufafanuzi
2. Ni UJINGA uliokomaa kudhani kila anyetofautiana na wewe kimtazamo au kuhoji baadhi ya mambo ya CHADEMA ni Gamba..ni fikra mgando, njia nzuri moja wapo ya kukijenga chama ni KUKIKOSOA kwa kutoa constructive cricisms...usidhani kukisifia chama siku zote ndio upenzi wa chama, huo sio upenzi ni ushabiki na unafiki..

Kwa mtazamo wangu cdm wameshachukua hatua stahiki. Baada ya kikao cha baraza la cdm; Mnyika aliongea na waandishi wa habari kuwa wanapanga kuipeleka serikali mahakamani kwa kukaa kimya mauaji yanayofanyika kwa makada wa cdm. Baada ya hapo niliona polisi Arumeru wakifuatilia kwa nguvu mauaji ya arumeru. Kama wanafanya kwa nia njema, Mungu awabariki.
 
WEWE HUKUSOMA MAJUZI TU CHADEMA WAMESEMA WANAIPELEKA SERIKALI MAHAKAMANI KWA MAUAJI YA WANACHAMA WAKE? SIKUMBUKI NI MAGAZETI YA LINI LKN KAMA SIYO WIKI HII NI MWISHONI MWA WIKI JANA. Nafikiri siyo vema kulaumu CDM wakati bado Polisi wanaendelea na Uchunuzi.

Mkuu I like you. Juzi Mh. Mnyika alifanya Press conference kuwa wanajiandaa kuipeleka serikali na CCM mahakamani kwa mambo makubwa matatu na la mauaji ni mojawapo. Hivyo namshauri mleta mada awe anafuatilia news!!!! CDM ni makini na haiwezi kukaa kimya, na ndiyo maana haiko kimya!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom