Recent content by saita

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wanachokitaka wanawake

    awe ni mtu aliyebeba utu wa mwanadamu kuliko kitu kingine chochote. akiwa ni wa kunipenda mimi na kuwachukia wengine itakuwa ni hatari sana.
  2. S

    JamiiForums Tanzania 'MESEJI' ya HUJUMA...

    tuwekee data za kutosha ili tuweza kuriacti ktk hiyo issue men.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Rai: Mukama adaiwa kutaka kujiuzulu kisa Nape; Mwenyewe akanusha!

    hawakiwii kusema kuna mkono wa wapinzani ktk hiyo attempt ya bwana magamba mwenzao.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Rai: Mukama adaiwa kutaka kujiuzulu kisa Nape; Mwenyewe akanusha!

    hilo lipo wazi kwa kila mtu mweenye macho na akili ya utambuzi, ngoja tuone msimamo wa bwana Mukama au ndiyo zilezile fiksi zao.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

    hiyo ni siasa na kamwe hawezi kushinda na pengine amejitia doa huyo Rose Kamili. Ni vyema akajua ashakua na pia she is a public figure.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

    Hayo ndiyo maipact ya fgm au ukeketaji, laani hilo katika jamii yako
  7. S

    JamiiForums Tanzania Huwa siwezi kabisa....

    Bado haujakua na inaonekana unamwogopa mkeo na mbaya zaidi ulizoea kwenda porini
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri.

    Zidisha ujuzi wa kumjenga kisaikolojia zaidi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

    Hakuna kitu cha hatari kama kutembea na mke wa mtu, its very bad and painful ndo maana mwenye mke akikufuma anakata shingo na polisi hakuna kesi . Look verry.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Usaliti sio mzuri nimekoma.

    Hivyo vitu sio vya kujaribu jaribu uwe makini coz kuna siku utakutana na aliye flat na smooth.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hiki kitendo ni cha halali wakuu?

    Haiwezekani na hakika atamfuata siwezi kuridi naye.
  12. S

    JamiiForums Tanzania mke mwema(kwa wanaume tu)

    Kwa aslimia tisini ni sawa
  13. S

    JamiiForums Tanzania Lipi hupendi mpenzi wako afanye ... ? Mimi ni hili .. we je?

    Pale anapokuwa itrovert hata anashindwa kuwapokea wageni
  14. S

    JamiiForums Tanzania Lipi hupendi mpenzi wako afanye ... ? Mimi ni hili .. we je?

    Akisema ndio mwanzo wa mtafaruko wa mahusiano, he is to keep quite.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya na fiksi za wakuu wa Wilaya.

    Inasikitisha kusikia tayari wakuu wa wilaya ambao ni mkada wa chama cha mapinduzi tayari wameshaanza kuichakachua mpango wa ukusanyaji wa maombi ya katiba mpya. Wanawapanga watu wa kuongea na vitu vya kusema huku wakiwaelekeza wenyeviti wa kata kuwapointi kila wanaponyosha vidole na kuwaacha...
Back
Top Bottom