Gazeti la Rai: Mukama adaiwa kutaka kujiuzulu kisa Nape; Mwenyewe akanusha!

Amechelewa kufanya maamuzi hayo. Mbona ilikuwa wazi tu kitambo sana.
Nape endelea kupeta tu. Tena usicheze mbali na M/kiti, unaweza kuukwaa ukatibu Mkuu.
Nyota yako iko juu. Huyo Sangoma uliyempata usimwachie.

Heheheeeeeee......
Wewe unaangalia karibu. Lakini impact ya kujiudhuru ni kubwa sana. Ni pigo kwa chama.
 
hilo lipo wazi kwa kila mtu mweenye macho na akili ya utambuzi, ngoja tuone msimamo wa bwana Mukama au ndiyo zilezile fiksi zao.
 
tunajuwa cdm mnamuogopa nape mnapindisha maneno2..

Kwa hiyo gazeti la Rai ni CDM? Hili gazeti si la kada mwenzenu, au leo Bashe amekuwa CDM. Naona kila kitu kinakuwa CDM, migomo ya wafanyakazi wa umma CDM, hali mbaya ya maisha CDM, migogoro ya ccm ni CDM, Mukama kuomba kujivua gamba CDM, kazi mnayo..
 
Kwa jinsi hii filamu la 'kujivua gamba' linavyokwenda, sasa naanza kupata picha 'gamba' ni kina nani... Pole Mukama, naona waswaili wa ukanda wa pwani wameamua kukudharirisha sasa...
 
Source Gazeti la Rai Nguvu ya Hoja

Katibu mkuu wa CCM a.k.a Magamba amemwandikia barua nwenyekiti wake wa CCM Rais Jakaya Kikwete kuomba kujivua gamba.
Sasa maamuzi ya kujiuzulu kwake yatategemea mwenyekiti na kamati ya CCM kuamua kujiuzulu kwake au la.
Mnafiki tu hataki kujiuzulu.
Nia yake ni kutaka Nape aondoshwe ili yeye abaki.
Anataka Kikwete apime anamtaka nani kati yake na Nape.
Angetaka kujiuzulu angeandika barua ya kujuzulu na kuita vyombo vya habari atangaze.
Kwani Rostam alisubiri majibu ya Kikwete?
Mkuchika aliandika barua ya kujiuzulu, Kikwete alifanya nini? Mkuchika yuko wapi?
Mkama mnafiki tu ka wenzake.
 
Kwa mujibu wa Nape Mukama ni oil chafu.magamba hawaishi vituko naona wabaya wa Nape na Mukama ndugu Rostam Aziz anazidi kuwachonganisha kwa kutumia magazeti yake.
 
Ndugu Katibu Mkuu alitakiwa kuitisha mkutano na wanahabari kwa kushtukiza na kutangaza uamuzi wake huo.
Mambo ya barua yangefauata baadaye.Kutanguliza barua kunaondoa ladha ya tukio zima.
 
Tena anatakiwa apumzike asije fia sukari hapo ofisini,
acha nape awape kitimtim kwanza.
 
Sasa si wanaweza kumpeleka msitu wa mabwepande?wakamng'oe meno na kucha' manake magamba wao hawanaga hoja zaidi ya kuwatisha raia kwa mauaji tu.
 
Mukama wewe Mzee Mzima Nape anakuzidi Ujanja au umeona kuwa CCM inaelekea kaburini ndo maana umeamua kupotezea kwa kujiuzulu?
Source Gazeti la Rai Nguvu ya Hoja

Katibu mkuu wa CCM a.k.a Magamba amemwandikia barua nwenyekiti wake wa CCM Rais Jakaya Kikwete kuomba kujivua gamba na sababu kuu ya kujiuzulu huko ni mvurugano ndani ya chama hicho na msababishi mkuu ni Katibu mwenezi wa chama bwana Nape Nnauye kuchukua majukumu yote ya chama na kufanya maamuzi kama atakavyo yeye.

Sasa maamuzi ya kujiuzulu kwake yatategemea mwenyekiti na kamati ya CCM kuamua kujiuzulu kwake au la.

Concern

Nape Nape iko wazi yeye ndio mwenyekiti, katibu mkuu, msemaji wa chama. Bila shaka kuna kundi anallilitumikia kwa maslai binafsi. Nashukuru kwa kuongeza kasi ya kukipeleka chama kuzimu
 
Bonge la movie! Magamba yamegoma kuvuka lazima yamtie kiwewe,Ni UDHAIFU tu unawasumbua ndani ya chama or CDM wanahusika!LIWALO NA LIWE.
 
'LIWALO NA LIWE':hat:Kila mtu mbabe ndani ya ccm,lazima itakuwa CDM wanahusika.pipoooooooooooooooo!
 
Tunahitaji kijana mwenye ari na kasi kama ya Nape, yeye yupo wapi wakati Nape kila siku yupo mikoani kujibu mashambulizi, au yeye ni katibu wa Lumumba na Chamwino tu? Anapaswa kumpongeza Nape kwa kumsaidia kazi yake aache longolongo

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkama usiondoke kwani wewe ni msaada mkubwa sana kwetu kwa kutusaidia kuididimiza Mabwepande party, vumilia tu hadi 2015 tutakufikiria kidogo katika ufalme wetu.
 
Source Gazeti la Rai Nguvu ya Hoja

Katibu mkuu wa CCM a.k.a Magamba amemwandikia barua nwenyekiti wake wa CCM Rais Jakaya Kikwete kuomba kujivua gamba na sababu kuu ya kujiuzulu huko ni mvurugano ndani ya chama hicho na msababishi mkuu ni Katibu mwenezi wa chama bwana Nape Nnauye kuchukua majukumu yote ya chama na kufanya maamuzi kama atakavyo yeye.

Sasa maamuzi ya kujiuzulu kwake yatategemea mwenyekiti na kamati ya CCM kuamua kujiuzulu kwake au la.

Concern

Nape Nape iko wazi yeye ndio mwenyekiti, katibu mkuu, msemaji wa chama. Bila shaka kuna kundi anallilitumikia kwa maslai binafsi. Nashukuru kwa kuongeza kasi ya kukipeleka chama kuzimu

CHAUMMA tuna mtaka
 
Heheheeeeeee......
Wewe unaangalia karibu. Lakini impact ya kujiudhuru ni kubwa sana. Ni pigo kwa chama.
Wacha wapigike, ndo ukombozi wa kweli utapatikana. tunahitaji mabadiliko.
Naomba mungu Mukama asibadili msimamo na Nape aendelee kuleta seke seke ndani ya nyumba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom