Mimi napingana na mtoa mada. Sio tu matajiri wa kichaga inapofika siku yao wanakufa hata wewe mwenyewe ikifika siku yako utakufa. Wachaga wanajulikana kwa utafutaji wao wa hela na kupenda hela lakini hiyo haiwafanyi kila mwenye utajiri basi anamambo ya kishirikina hapana.kikubwa Ni kujituma...
Mwanaume yoyote anategemea akili ikae sawa (asiwe na stress) ili kuperform sex vizuri. Ila sikuzote Kama mwanamke ameshaanza kukuongezea stress mfano hamuelewani +unajua anakucheat huwezi ukawa na hamu ya kufanya nae sex.hata ukilazimisha ndo matokeo yake uume hawezi kusimami vizuri na ndo maana...
Binafsi nampongeza Sana Kindamba ameleta mageuzi makubwa Sana TTCL,kutoka kuzalisha hasara kwa miaka 18 iliyopita mpaka kutengeneza faida na kutowa gawio kwa serikali.sikatai kwamba ttcl Wana changamoto zao especially za kiubunifu mfano kwenye bando zao bado wamebase kwenye watumiaaji wadogo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.