Saimon Philip
Member
- Feb 23, 2012
- 55
- 17
Ndo maana nikasema anayehitaji no yangu iko juu kwa maelewano zaidiKabadilishana tuuu hivi hivi au unaongeza na pesa (kuvunja)? coz I don't see a point kubadilisha gari ya milion 26 - 30 na gari ya milion 14 - 18
Yoyote kati ya lexus au harrier za mwaka kuanzia 2003-2009Unaijua harrier new model kweli au unasemea harrier Lexus mzeee!! Hata hivyo kill time haiwezi lingana na harrier Lexus hata kidogo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina matatizo mkuu tokea nimeiagiza haina zaidi ya miezi mitatuRav4 ina matatizo gani ?
Hamna gari inaitwa harrier lexus duniani mkuu,ila kuna LEXUS RX boss.Unaijua harrier new model kweli au unasemea harrier Lexus mzeee!! Hata hivyo kill time haiwezi lingana na harrier Lexus hata kidogo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaijua harrier new model kweli au unasemea harrier Lexus mzeee!! Hata hivyo kill time haiwezi lingana na harrier Lexus hata kidogo!!
Sent using Jamii Forums mobile app