Recent content by Sailaa

  1. Sailaa

    JamiiForums Tanzania Yajue maisha ya Mbinguni, yana raha isiyo na kifani

    [emoji16][emoji16] au sio
  2. Sailaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Kiswahili kina msamiati mchache?

    Nimekuelewa vyema kaka kwa maelezo yako swali langu halijajitosheleza.
  3. Sailaa

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Hajakatazwa mtu kuchukua tahadhari!!usije ukawa unabwabwaja tu mtandaoni halafu huchukui tahadhari nikushauri anza kwanza kuwaelimisha waliokuzunguka majirani na familia yako kwa ujumla alafu njoo upaze sauti na huku.
  4. Sailaa

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Kwani mwenzetu unaishi ughaibuni kusoma hujui hata picha huoni!!serikali sio wajinga ingekua ya kutisha hivyo sote tusinge bwabwaja mtandaoni maana tungezikana kila siku tuachage unafki!
  5. Sailaa

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Kakuachia wewe uelezee haya tujuze Isack Newton the second !!
  6. Sailaa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

    Akakojoe alale asituletee uboya hapa!!
  7. Sailaa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

    Lissu hawezi pata urais ndani ya inchi hii na alichokifanya marehemu kilikua sahihi,binafsi namchukulia lissu kama mamruki tu na msaliti wa inchi hii alionywa mara nyingi sana hakuwa msikivu na lile ni onyo tu hawakutaka kumuua
  8. Sailaa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

    Mpinge kihoja sio unaropoka!!yeye kataja zake nawe taja hoja zako ndio haswaa uchangiaji wa hoja ulivyo.
  9. Sailaa

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Unajua kuna watu wanastahili kabisa kufa we kila unalofanya zuri yeye anaforce lionekane baya kwa wananchi mara cjui anapeleka umbeya USA kwamba Tz huko nini kinaendelea huyo msaliti wa nchi yetu [emoji706][emoji706] kabisa
  10. Sailaa

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Kidogo yaani kidogo sana unaweza kumfikirisha mtu
  11. Sailaa

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Mbona majibu ya maswali yako yapo kwenye hii story ya jamaa inaonekana hujitambui [emoji2373]
  12. Sailaa

    JamiiForums Tanzania Baada ya chanjo ya Corona, Watu wanatakiwa kuendelea kuvaa barakoa?

    Maana kama ukipewa chanjo alafu bado unaweza kuambukizwa tena hiyo siyo maana ya chanjo
  13. Sailaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania LG wanafunga biashara yao ya simu

    Hao LG pia si wachina??
  14. Sailaa

    JamiiForums Tanzania Forex Trading yaanza kufundishwa rasmi chuo kikuu

    Tatizo mtu hataki kujifunza mwisho wa siku hela zinaangukia kwa vibaka wa mtandaoni ishu ya forex elimu inahitajika ya kutosha kabisaa ukikurupuka lazma uone kama kubet tu [emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom