racka98
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 1,042
- 1,547
Baada ya LG kutangaza mwanzo wa mwaka huu kuwa wanauza mobile division yao imefatia kufunga biashara hyo ya simu mwezi huu ujao baada ya kukosa wa kuwauzia.
Hvyo wanafunga kabisa biashara hyo ya simu na kufuta ratiba yao ya mwaka huu ilikuwa imeshapangwa. Pia wana cancel simu yao yenye rollable display iliyokuwa ikitarajiwa kutoka mwaka huu.
Hii yote ni kwasababu wanasema biashara hyo ya simu ilikuwa inaendeshwa kwa hasara.
Soma zaidi hapa: LG to stop making phones altogether, as buyouts fall through