Recent content by Saidyahyasultan

  1. Saidyahyasultan

    JamiiForums Tanzania YUEAO MOTORCYLE SPARE PARTS

    Unataka ya kichina au Original? Jee unataka kwa winhgi rejareja? 0778670301 WhatsApp
  2. Saidyahyasultan

    JamiiForums Tanzania YUEAO MOTORCYLE SPARE PARTS

    Ni wauzaji wa Vipuri vya pikipiki kwa aina zote, Zikiwemo Pikipiki za 1) Boxer Bm150, 2) BMX125 3) BMX150, 4) BM125HD, 5) BAJAJ 100 Pia Tunazo Spare Za Kichina kama 1) SANLG 125 2) SANLG 150 3) FEKON 125 4)FEKON 150 5) HOUJUE 125 6) HOUJUE...
  3. Saidyahyasultan

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara Spare za Pikipiki

    Upo kigamboni sehemu gani mkuuu
  4. Saidyahyasultan

    JamiiForums Tanzania 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝗻𝘆𝗶𝗻𝗴𝗶 𝘇𝗶𝗻𝗮𝗳𝘂𝗻𝗴𝘄𝗮 𝘀𝗮𝘀𝗮

    hata mm ilifungiwa mwezi uliopita, lakn nikawatumia email hawa jamaa wa WhatsApp na nikaweka namba yangu ya simu, na nikaomba samahi kama kuna jambo lolote la kuvunja shart nimelifanya, na kweli wamenisamehe , hakikufika saa lisaa moja waliweza kuifungua. na kama kuna mtu whatsApp yake...
  5. Saidyahyasultan

    JamiiForums Tanzania Je, nina ugonjwa wa moyo au nini?

    Kwa imani ya dini yako naomba ufanye dua kwa kumuomba mungu wako. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Saidyahyasultan

    JamiiForums Tanzania Je, kuna dawa ya kunenepa ya hospitalini?

    Mm wala sikushauri kunenepa. Hata kama ulitoka kwenye ugonjwa. Nitahidi kula matunda kwa wingi mboga za majani. Mwili utakuja wenyewe huo. Hata mm wakati nilipokua nasoma nilikua mwembamba sana kiasi ya kuwa najiskia hata vibaya kukaa na watu, mda wote wananiita mbu. Lakn baada ya kumaliza...
  7. Saidyahyasultan

    JamiiForums Tanzania Nimepitiliza siku tano, je hii itakuwa mimba?

    Hio ndio wala usiwe na wasi. Kwa maana hata mm wife alipitisha siku karib 10 lakn tulipopima hana. Halaf hana dalili yoyote ile ya kuwa na mimba so subiria huo mwezi kuisha halaf pima utaona kitu kimeganda
  8. Saidyahyasultan

    JamiiForums Tanzania TOYOTA VEROSSA

    Kama gari inawaka basi sio engine itakua ni gearbox Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Saidyahyasultan

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kwa anayefahamu, kifua changu ni kizito sana

    Mnhh nahisi kama hilo jini ndo dalili zake hizo.
  10. Saidyahyasultan

    JamiiForums Tanzania Msaada uume kutosimama

    Tafuta dawa ya Jiko
  11. Saidyahyasultan

    JamiiForums Tanzania Pata ufahamu na elimu dhidi ya ugonjwa wa Mafindofindo (Tonsils)

    Dah hata mm leo ya 6 naumwa na kama ww mate kumezeka tabu sana, Halaf mm nimevimba hsa shing na kooni nimefanya mikwaruzo na vipele pele. Sisi sote wawili ni wagonjwa
  12. Saidyahyasultan

    JamiiForums Tanzania Shingo kuvimba

    Habar zenu jaman naomba mnisaidie mwenzenu napata shida sana hasa pale nnapo tumia chakula mfano nyama ya ng'ombe au ya kuku nakua navimba shingo kupinda kwa tabu, mda mwengine nahic kama kuna misuli inalia lia saut flan hiv ndani ya shingo, Nilikwend spital doct kasema ni allergy, lakushangaza...
  13. Saidyahyasultan

    JamiiForums Tanzania Jogoo kushindwa kuwika

    Naomba msaada kwa hapo
  14. Saidyahyasultan

    JamiiForums Tanzania Tiba za tezi dume

    Sawa lakin mm tatizo lang n hili, Nimefanya kama mshipa mwembamba mfano kama waya mgumu lakn mwembamba sana. Kwenye uume wangu upande wa kulia, Halafu umenyooka hadi karibu na kichwa, pia upande huo huo nimefanya uvimbe mdoogo hivi, tatizo ni nn? Nashkur sana
  15. Saidyahyasultan

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Karib
Back
Top Bottom