๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ

๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ

We kweli hujui GB. GB ni kubwa saaana kwa watsup yenyewe.

GB ni unyama.
Kama ni wakubwa hivyo unavyowapamba, wameshindwaje kuanzisha app yao mpaka wadandie platform ya Whatsapp? Ujue hawajiwezi kusimama wenyewe.
 
Kumekua na kesi nyingi za watu kulalamika kufungiwa ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ zao kila mara, watu wengi wanalalamika kila wanapojaribu ku download Whatsapp na kujiunga tu wanafungiwa nini shida ?

Kuna mtu alikua anatumia ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ Gb fresh ila ilivyomwambia download nyingine baada ya mwanzo kuisha muda wake kajikuta kafungiwa akaunti yake.

Ikitokea akaunti yako ya ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ imefungiwa utakutana na ujumbe kama huu wakati unajisajili [emoji116]
" this account is not allowed to use Whatsapp"

๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ถ๐˜„๐—ฎ? Kwa sababu umevunja sheria na masharti ya Whatsapp, mfano Ikiwa unatumia Whatsapp mods, unatuma link za ajabu unaweza kufungiwa akaunti yako.

Jihadhari sana ili kulinda kufungiwa kwa kuacha yafuatayo [emoji116]
โ€ข Acha kutumia ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—š๐—ฏ, Whatsapp fm, Whatsapp plus utafungiwa
โ€ข acha kutuma message moja mara nyingi nyingi utafungiwa
โ€ข usifungue group nyingi kwa siku na ku add watu wengi utafungiwa Whatsapp yako
โ€ข usitume link ambazo sio Salama utafungiwa Whatsapp yako
โ€ข Ikiwa una tabia ya ku block na watu utafungiwa akaunti yako

Kuwa makini Whatsapp mwaka huu sheria zao wanazitekeleza sana ukikosea tu unaweza kufungiwa akaunti yako na kufutiwa kabisa utaondolewa kwenye ma groups yako yote.

Jihadhari unaweza poteza taarifa Zako za msingi [emoji3578]

Vipi wewe umeshakutana na changamoto ya kufungiwa Whatsapp yako au lah tuachie maoni yako?

Teknolojia ni Yetu sote [emoji3060][emoji3]View attachment 2646953
Hao tsup wanazingua sana, kama mimi nilikuwa natumia tsup plus baadae ikaonekana ime expire

Nilipojaribu ku update imeshindikana mpaka leo

Nikiporud kwenye tsup messenger ikaonekana nimefungiwa sasa si ushenzi huo?
 
hata mm ilifungiwa mwezi uliopita, lakn nikawatumia email hawa jamaa wa WhatsApp na nikaweka namba yangu ya simu, na nikaomba samahi kama kuna jambo lolote la kuvunja shart nimelifanya, na kweli wamenisamehe , hakikufika saa lisaa moja waliweza kuifungua.
na kama kuna mtu whatsApp yake imefungiwa anitafute nimpe njia
 
Kinachofanya wengi wanafungiwa ni kushindwa kufanya update ya version zake kwa wakati.

Mfano gb w'app wana-recommend kwamba pale tu mtumiaji unapopata notification ya ku-update hapo hapo usichelewe,mimi natumia GB sijawahi kukutana na changamoto hii.
 
Hata mimi huwa sichelewi na uzuri wanakupa notification mwezi mzima. Na sijawahi kupuuza kwanza ndo inakuaga easy kuapdate.
 
Back
Top Bottom