Recent content by Saidy Hamidu

  1. Saidy Hamidu

    DC Ally Happi Akuna na Kazi ya Kiba. Aahidi kutoa zawadi nono kwa kiba

    Afadhali umemkumbusha maana havieleweki nini kimesemwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Saidy Hamidu

    NAHITAJI DAGAA WA KIGOMA

    Kigoma zinspatikana kwa kg. 25000/28000 inategemeana na wakati. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Saidy Hamidu

    Ndugu zangu waislamu hii ni kweli!?

    Haswaa mengine akifanya anajiongezea thawabu. Na aspofanya hapati thambi. Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
  4. Saidy Hamidu

    Ndugu zangu waislamu hii ni kweli!?

    Kila atakachokifanya mkeo kwako ni kwa mapenzi yake tuu. Ila si lazima kila kitu utawajibika wewe mwanaume ulie muoa. Na nikwakuwa mkeo c mjakazi wako ispokuwa ni kwa kazi moja tuu uliemuolea. Basi zingine zote afanye kwa kupenda mpka kufua na kupika. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Saidy Hamidu

    Hivi nikimkung'uta mangumi huyu binti, nitakua namuonea?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli umetisha mkuu big up sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Saidy Hamidu

    Nakuzimikia sana MBITIYAZA

    Atauona tuu huu ujumbe wewe tulia c umesema ya Moyoni. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Saidy Hamidu

    Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

    Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Saidy Hamidu

    Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

    Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Saidy Hamidu

    Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

    Kwahiyo mama yako aliekuzaa naye ni mwaname kama wewe! Jitambue basi. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Saidy Hamidu

    Nimeponea chupuchupu kuuawa kwa mchepuko

    Kwani akili haziko sawa mpka sasa mkuu..! Daaah mchepuko cyo dili bado hamuelewi haya sasa ungepoteza maisha uiache familia kwenye wakati mgumu kwa tamaa zako. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Saidy Hamidu

    Nilimwambia atakufa akafa kweli

    Duuuuh mkuu pole sana na huo mkasa. Umenikumbusha kitambo kidogo kuhusu Igongwe. Ila ilishavunjwa siku hizi naona nikipita pako kimya sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Saidy Hamidu

    Naomba msije kwenye sherehe ya miaka 10 ya ndoa yangu, njooni kwenye msiba wangu

    Hongera sana kwa story nzuri yenye funzo ndani yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Saidy Hamidu

    Kwanini wanaume mkimtaka mwanamke mnakuwa wanyenyekevu sana na mkishampata mnabadilika?

    Ukweli wa jambo hili huwa lina maana kuu mbili kama cjakosea. Kwanza muhitaji anapokutongoza huwa amehisi au kukuwaza kadri alivyokuona kuwa huenda ukawa mke mwema lakini kadri mnavyoingia kwenye mahusiano ndivyo mnasomana tabia nakujuana zaidi hivyo kupelekea kugundua kuwa huyu kumbe hayupo...
  14. Saidy Hamidu

    Kwanini wanaume mkimtaka mwanamke mnakuwa wanyenyekevu sana na mkishampata mnabadilika?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitachangia ngoja nicheke kwanza. Miss unamajibu hatari Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Saidy Hamidu

    Harusi ya mdogo wangu ilivyochukua wazazi na ndugu zangu wote

    Innalilah wainaillaih rajiuon. Hakika sisi sote kwake tutarejea. Ila kifo hakizoeleki pole sana dada angu Mungu akupe nguvu na hekima uweze kustahimili kipindi hiki kigumu kwako. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom