Yani ndio maana tunashauriwa vitu vidogo km hv sijui kubadilisha oil sijui vitu vidogo vidogo uwe unajua mwenyewe kuvifanya kwhy unaenda kununua kitu sahihi kulingana na gari yako unabadilisha mwenyewe kukiko kumpa fundi bila wewe kuwepo yeye anafanya fanya bila idea yoyote mwisho anakuharibia...
Hapo naona Umebase zaid kwa mdaiwa Sasa swali langu vp Anaedai Atapata Vp haki yake??Au ndio Mambo ya kushikana mashati na kuchukua mali ya unaemdai kama fidia...Ukibase sana upande wa mdaiwa Inakuwa kama unachochea wizi na utapeli wa kuaminika
Jaribu Kuongelea pande zote 2
Tuliwahi kusimamishwa pale Veta Zaid ya Saa 1 Kusubiri msafara Sijui wa kiongozi Gani,,Nashindwaga kuelewa hawa wahusika Inakuaje hawajali muda wa wanachi
DUh sema mambo mengine ukiazi tuu
magari 19 thamani yake 190m wakati kuna watu wanamiliki magari mawili thamani yake 200m sasa kama huyo dada kawekeza kwenye magari kosa lake nn hapo Hv hizi taasisi wanataka watu wategemee mishahara tu au??kweli naamini nchi masikini lzm itake kukurudisha kwenye...
Kumbe Yule Page Ni Ya Msomi???
Daah!!Bc Htr Sana Maana Me Nilijua Ni Page Ya Mtu Flan Hv Chizi Chizi Asiekuwa Na Mbele Wala Nyuma...Dah!!Ule Upuuzi Ambao Anaandika Hata Mtoto Wa Darasa La 7 Haandiki
Hahaha Maisha Ya Siku Hizi Yanatawaliwa Na watu Kujianika Mitandao Kila Kinachotokea Wanataka Kupost fb Na Instagram Ss Hv M2 Na Akili timamu Unaweza Vp kupost Video Kama Ile
Kuwa Mwalimu Kuna Maadili Yake Na Taratibu Zake Ss Ukiona mwalimu Anarusha ngumi Au Anatukana Wanafunzi Ujue Huyo Hana sifa ya Kuwa mwalimu Hata Hao Walimu hapo Hawana sifa Hiyo
Mh.Ndalichako Hebu Futa Vyeti Vya hao Watu Warud Wakasomee Taaluma Nyingne Ila Sio Ualimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.