Fahamu jinsi ya Kulink/ Kuregister Paypal account Tanzania

Hapana. PayPal walinambia sheria za bongo hazipo sawa kwenye hizo ishu. Yaani Kenya wanatupita
Kenya wametupita kwa mengi wanapokea hela toka Paypal na Skrill kwenye M-Pesa sisi yani basi tu. Mtu inashindikana uza vitu Amazon hata onlineshop unashindwa integrate Paypal upate hela.

Hiyo exchapurse unaweza change ela toka wallet moja kwenda nyingine mfano Paypal to Skrill au Payoneer lakini sijaitumia natafuta kama legit nakutana na maoni mbalimbali wengine wanaisifia wengine wanasema ni scam
 
Binafsi niliregister na Paypal account siku ya pili tu nikafanya online purchase ebay kwa majaribio, juzi nimetoka kupokea mzigo wangu posta toka China, sikufanya verification na wala sijapata hizo 4 digits sasa sijajua next purchase itashindikana ama la?
 
Yeah, Kenya wana Pesapal ambayo nina mpango wa kusajili siku 2 hizi ili nitumie shopify.
 
Binafsi niliregister na Paypal account siku ya pili tu nikafanya online purchase ebay kwa majaribio, juzi nimetoka kupokea mzigo wangu posta toka China, sikufanya verification na wala sijapata hizo 4 digits sasa sijajua next purchase itashindikana ama la?
Wana limitation ukifikia kiwango fulani au waka detect any suspicious activity wanataka uverify, halafu wewe kwa upande wako hauna tatizo sisi tuanongela kupokea hela Paypal Tanzania haipokei hela toka kwa mtu, ila kuweka hela kutoka account yako au kadi inapokea so wewe huna tatizo
 
Vipi hiyo paypal inaweza lipia matangazo ya Facebook, Instagram, Google Ads?
 
Kaka naomba msaada wako najaribu kujiregister na PayPal lkn inagoma
Binafsi niliregister na Paypal account siku ya pili tu nikafanya online purchase ebay kwa majaribio, juzi nimetoka kupokea mzigo wangu posta toka China, sikufanya verification na wala sijapata hizo 4 digits sasa sijajua next purchase itashindikana ama la?
 
Hebu nitajie site 2 kubwa duniani za mauzo na manunuzi wanazotumia bitcoins
Unaweza kupokea lakini huwezi kukwepa makato mimi naweza sema ni commission ambayo PayPal wanapata kuwezesha hiyo transaction. Lakini kwanini ukatwe fedha uliyoitolea jasho kirahisi hivyo wakati kuna huduma au jia ambazo hukatwi hata senti? Kwa mfano Kupokea malipo kutumia Bitcoin, ethereum au altocoin. Hukatwi, hakuna kodi wala commission yeyote. Amka!
 
Mkuu unafunguaje account PayPal na ili uweze kulipwa na kulipa?
Ukiwa laini ya Safaricom Kenya inawezekana % zote.. Ndo tunatumia miaka nenda rudi paypal account ya Kenya hapa TZ bila shida!
 
Inawezekana kupokea pesa kwa paypal kutoka nje?
Yeah! Inapokea, kutuma na kutoa vizuri tu. Ukiwa na chip ya Safaricom Paypal & Skrill zinapiga kazi kama kawa Tanzania.

Screenshot_20191203-064417.jpeg
 
Back
Top Bottom