Ushahidi mtumishi wa TRA waiva

Ushahidi mtumishi wa TRA waiva

Tuache kuiba, tuache kufanya kazi kwa mazoea, tuache uvivu, tuache njia za mkato, tutumie vyeti vyetu halisi, tupiganie haki zetu kwenue huduma za afya, miundo mbinu, elimu, umeme, maji, ustawi wa jamii na kupiga kazi kwa maarifa na juhudi...
Ama sivyo ndio haya...
akili za kimaskini bhana,kwahiyo ukiwa mtumishi huwez kuwa na kaz nyingine ya kukuingizia hela? hakina mikopo?
ushamba
 
USISHINDANE NA MWANAMKE.........

km kapewa zawadi akatae.....
 
kinachowasumbua watu n kutokana na jina LA huyo Dada ,watu wa kanda ilee wana maendeleo sana,sasa washamba wanamwonea wivu wanadhani kila mtumishi anategemea mshahara,ushamba mwingne n shida
Hii ndo tabu ya kitu inaitwa double standard asee. Kunakijana mmoja hivi mtoto wa mfalme Juha yeye alisemekana kumiliki mali kemkem na hakufikishwa seheme yoyote sasa Mdada wa watu na Toyota zake isha kuwa shida.
 
tamaa haijawah mwacha mtu salaama atavuna alichopanda
 
Bora hata sijawa Hakimu au Jaji kwani kwa jinsi ninavyojijua nilivyo na kwa Urembo wa huyo Dada hiyo Kesi ningeshaifutilia mbali zamani sana na pengine hata huyo Dada sasa angekuwa Mke wangu wa Saba ( 7 ) na Mimba tayari nikiwa nimeshampachika tena ya Mapacha Watano.
Leo....unanini kichwni...sio kawaida yako.
 
DUh sema mambo mengine ukiazi tuu
magari 19 thamani yake 190m wakati kuna watu wanamiliki magari mawili thamani yake 200m sasa kama huyo dada kawekeza kwenye magari kosa lake nn hapo Hv hizi taasisi wanataka watu wategemee mishahara tu au??kweli naamini nchi masikini lzm itake kukurudisha kwenye umasikiini na hata ukijaribu kujikomboa kutokana na fikra zao za kimasikini lzm wakurudishe kwenye umasikini yani wanataka jumla ya mshahara wako ndio uwe usawa wa utajiri wako hawataki watumishi wafanye investment kbs duuuuh
 
Pengine binti alikuwa ananunua gari anauza then waliouziwa au yy hawajafanya transfer ya owner kwenye motor vehicle registration
Hapo maana yake ni mfanyabiashara wa kuuza magari anatakiwa awe na leseni ya biashara hiyo na kulipa kodi zote za Serikali
 
..kesi kama hizi ni danganya Toto tu...wanaacha kuwakamata kina bashite wenye kuishi kwa dhulma na mali zisizoendena na kipato chake wananahaha na dagaa wadogo hawa....bashite anapora hadi Mali za matajiri mjini na kijumilikisha...waanze nae....
Hao matajiri gani wanaporwa mali na wao wanaacha tu? Zitakuwa siyo mali zao halali
 
Hakuna mfanyakazi TRA nanaanza analipwa 2M. Hiyo mishahara ni level za meneja wa wilaya au principal tax officers.

Gross ya TRA ni laki 8. Transport & Housing allowance ni 160,000.

Ukiona mtumishi wa TRA anaishi maisha nje ya huo mshahara ujue ni wizi au rushwa.

Watu mna imaginations za ajabu sana kuhusu mishahara ya TRA.

Rudia kusoma mashitaka ya awali ya huyo dada, walitaja na mshahara wake hadi kufikia june 2016 ambao hauzidi 1.2M na ana miaka 7 sasa kazini.

TRA nje ya rushwa ni maisha ni ya kawaida sana.
sasa inakuwaje wanakuwa na majumba/maviwanja mengi hivyo na majumba yao ni maghorofa? almost wote wana hela chafu sana.
 
DUh sema mambo mengine ukiazi tuu
magari 19 thamani yake 190m wakati kuna watu wanamiliki magari mawili thamani yake 200m sasa kama huyo dada kawekeza kwenye magari kosa lake nn hapo Hv hizi taasisi wanataka watu wategemee mishahara tu au??kweli naamini nchi masikini lzm itake kukurudisha kwenye umasikiini na hata ukijaribu kujikomboa kutokana na fikra zao za kimasikini lzm wakurudishe kwenye umasikini yani wanataka jumla ya mshahara wako ndio uwe usawa wa utajiri wako hawataki watumishi wafanye investment kbs duuuuh
tatizo tuna washamba wengi mkuu
 
Muda si mrefu tutaanza kupewa masharti ya idadi ya magari tutakayotakiwa kumiliki.

Dec ya mwaka iliwashtua pamoja na vyuma kukaza lakini wapi.

luambo makiadi
n kweli mkuu
washamba wale wenye roho za kimaskini walipatwa na mshangao sana walipoona ma V8 yakipandsha mgombani kwa wingi December sasa na bado tutaendelea kutanua hadi kieleweke kuwa na akili raha sana
 
Hakuna mfanyakazi TRA nanaanza analipwa 2M. Hiyo mishahara ni level za meneja wa wilaya au principal tax officers.

Gross ya TRA ni laki 8. Transport & Housing allowance ni 160,000.

Ukiona mtumishi wa TRA anaishi maisha nje ya huo mshahara ujue ni wizi au rushwa.

Watu mna imaginations za ajabu sana kuhusu mishahara ya TRA.

Rudia kusoma mashitaka ya awali ya huyo dada, walitaja na mshahara wake hadi kufikia june 2016 ambao hauzidi 1.2M na ana miaka 7 sasa kazini.

TRA nje ya rushwa ni maisha ni ya kawaida sana.
Hujui unachokiongea, kaa kimya milele.
 
Back
Top Bottom