Wacha wafirisike kwasababu hazina faida kwa wanchi zaidi ya kubanwa wananchi licha ya kupata faida kwa matajiri wakubwa
Lakini haya makato ya atm au sijui makato ya kila mwezi ni pigo kwa mwananchi wa kawaida.suala lingine ni kuhusu mikopo mikopo masharti ni magumu mno ukitaka mkopo utapewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.