Yaani Kwa miaka yote nilikuwa nasikia kikokotoo kikokotoo nimejaribu kutafuta mifano YouTube Kwa pssf, nssf lakini wapi, kama bahati Leo nipo hapa, nimekuelewa sana yaani sana, kumbe wamepunguza mkupuo wameongeza pension ya Kila mwezi. Nmecalucalate ukistaafu Kwa mshahara wa m2 Kila mwezi...
Blaza hicho Cha simu ya kifo hata ukiscan unitumie ntakushukuru milele, nilikisoma nikiwa Darasa la pili mwaka 1994 sijakisahau Bado nakumbuka Kuna Agnes na FAMBO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.