Yalikuwa ni mapenzi haramu yaliyomwaga damu

Wewe kweli ni Tomaso................Mpaka nimekuwekea picha lakini bado unauliza kama ni Hadithi au ni kweli!

We kibaba wewe loh! Kwani hizi still picture ndio uthibitisho wa ukweli wa kitu?

Basi makubwa haya, kwa hiyo zile za kina Salvador Sorenza ni zaidi ya ukweli, manake zenyewe zinamuvu kabisa wallah.

Namuomba Mungu usibahatike kupata picha zangu, manake chochote utakachoandika chini yake kitakuwa ndio ukweli
 
Majina nimekupa na nchi ambapo tukio lilitokea nimekutajia, si U-Google kama unataka kuthibitisha! na ndio nikasema msiwe Tomaso?
Mtafuniwe na hata kumeza msaidiwe pia
 
Yaani ninapokukubali ni kuwa ni ngumu sana (hasa kwangu) kujua next time unakuja na mkasa lol....
Sure hii ni sifa ambayo hata wasanii wakubwa inawasumbua sana "kutokutabilika" ....!
Naendelea kuku-kubali tu mkuu wangu, kuna kitu zaidi ya kutafsiri tu sababu swala lingekuwa ni kutafsiri tu basi nadhani kila mtu angekurupuka na kutafsiri visa vyake huko anakojua!
Huu mkasa wa huyo mchungaji ni sehemu ya mambo yaliyo ya kweli, kuna kitu cha kweli kuwa nyuma ya maisha ya mtu yeyote aliyefanikiwa kuna kuwa na hadithi ya kusisimua inaweza kuwa safi au chafu sana,
kuna kisa kilikuwa kinasimuliwa kwenye gazeti la "Uwazi" kipindi cha nyuma sana nadhani miaka ya 2003 (sina uhakika), hicho kisa kilikuwa kinaitwa "DUNIA ILIYOOZA" (The Rotten world), simkumbuki vizuri msimuliaji wake, ulikuwa mkasa mzuri sana wa mtu mmoja aliyekuwa tajiri sana sasa msimuliaji akaamua kutupeleka nyuma ya pazia la maisha yake toka utoto aisee ilikuwa inatisha sana ila hakuimalizia.

So, ninachotaka kusema hapo ni kuwa wala usishtuke na kujua nyuma ya pazia la huyo "mchungaji", binafsi sishangai sababu katika watu walio na mambo ya ajabu sana ni hawa watu wanaojipambanua kama "watu wa Mungu" ni washenzi kweli.
Nilichukia sana mwaka jana kanisani kwetu nilipewa hadithi ya mchungaji wetu ambaye tulimpenda sana na alikuwa ana mahubiri makali mpaka watu wanalia, ukafika mda akaamishwa toka ushirika wetu na kupelekwa morogoro, hamna muumini aliufurahia ule uhamisho hata mimi nadhani ilikuwa mara yangu ya kwanza kumpenda na kumuamini mchungaji kwa kiasi kile.
Sasa nlipochoka ni kuwa katika stori nliyopewa ni kwamba kumbe yule mchungaji ni mchawi hasa haijapata kutokea, alipohamishiwa huko moro akakutana na wakali wenzake wakamuwahi, basi aliumwa nusura ya kufa wakamrudisha kwao tukuyu huko ushirika!
Nguvu ziliniisha na kwakweli nimebaki nawaangalia tu hawa "watu wa Mungu"

Pili, huo mtindo wa watu kupenda kuua na ku-enjoy mtu anavyokuwa anakata roho sijui ni mapepo mengine yanayotokana na so called civilization, sababu sijawahi kuelewa mtu wa kawaida anawezaje kumkatakata mtu asiye na hatia kiasi hicho?
Juzi nlikuwa najikumbushia movie zangu za kitambo kuna moja inaitwa "LUCKY" ya Winsley Snipeps, na nyinine inaitwa "Baby sister Wanted" sijui ma actor wake, nashangaa kuona watu wakiwa na uwezo kuua kwa furaha kiasi kile.
Ila sitamani kuijua hyo sababu, ila pia najiuliza tu kuwa kama hili ni pepo sasa sijui case apelekewe nani kama wanaoyafanya wamevaa kofia ya "watu wa Mungu"....
Kazi sana hii dunia...
Mkasa mtamu ila duuuuu
 
Mkuu asante,
habari za kazi lakini,
nimesoma nusu naendelea kusoma,
sasa sijui tutakimbilia wapi kama wachungaji wa kondoo
wa Bwana ndio wenye kuvunja amri za Mungu kama huyu jamaa;
 
Ahsante mkuu kwa mtazamo wako mahiri, nitarejea baadae kusherehesha hicho ulichiokisema..................
 
Hadithi nzuri lakini ndefu sana, siku zingine ukate kate iwe fupi, mengi uliyoandika yanajirudia rudia.
 
Umenikumbusha the rotten world ni mwaka 2004
 
Back
Top Bottom