Miezi minne mbona mapema sana? 🥳🥳🥳🥳
Anyway, peleka shauri lako kwa mshenga na wazee utapata msaada mzuri. By the way, hakikisha na yeye hajutii kuolewa na wewe
Hangaika na soko kubwa au wateja wakubwa. Kazi za Elfu hamsini, laki mbili na kadhalika zitakupa kula tu ila hamna kutoboa.
Mafanikio makubwa yapo kwenye wateja wakubwa na miradi mikubwa ya serikali, mashirika na makampuni makubwa size za Millioni 10, Millioni 100, Billioni na kadhalika.
Alama ya kwanza huwa ni AHADI NONO BILA KUVUJA JASHO. Hakuna RISK, hakuna kufanya KAZI Kubwa. Pia hakuna mchujo wala Vigezo na Masharti. Yaani ukiwa na pesa ya kiingilio tu basi UNAINGIZWA.......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.