Nishaurini usiku huu kuhusu huyu binti kabla hakujakucha

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Ndugu zangu nawatakia usiku mwema na poleni na majukumu.

Naombeni ushauri wa mwisho kuhusu huyu binti wa kimeru, nimuoe au niachane naye..

Nimeingiwa na hofu na woga kuhusu hili kabila kutokana na ninayo yasikia kwa watu pamoja na kujionea mitandaoni.

Huyu binti wa kimeru naona yupo vizuri sana na anajiheshimu mno kwanzia mavazi na wala siyo omba omba wa hela, yipo teyari kuwa mke na kuwa mama , pia hapendi kuongea ongea sana ni mkimnya mara nyingi, pia halii njaa au kuomba hovyo, tabia na mienendo yake naona iko poa ila wasi wasi wangu ni kwamba.

Kuna muda anakua mkali sana na anapenda umjibu short and clear ukionyesha kumuudhi, hapendi akuulize kitu alafu uanze kujitetea au kumzungusha anapenda umjibu ndiyo au hapana, mbaya zaidi hapendi kabisa kunitafuta labda ni mtafute mimi na anakua poa tuu , ila sometime nikimpotezea sana ananikumbuka atleast kwa mwezi mara moja moja ..

Kuhusu kukutana naye na kunipa mzigo hapa hanashida kabisa angalau hata kakitokea kachance mara moja kwa mwezi siyo mbaya ila yuko poa sana .

Nafikiria sana kumuoa, hata sasa hivi naandika ndiyo nafikiria sana hapa kumuoa mpaka sipati usingizi maana katika mademu wote nilio nao kidogo yeye anaridhisha , shida na waza sana nikikumbuka tabia za jumla za kabila lao na vitabia vyake hivyo hapo juu naingiwa na uoga sana maana mimi sipendi mikiki mikiki ya kijinga na mwanamke napenda amani, maana kwa jinsi nilivyo mpole najua kabisa mwanamke akinijia juu hovyo naweza hata nikamchemsha supu ni mnywe.

Naombeni ushauri wa mwisho kwenu kabla usiku huu hauja isha ndugu zangu.

Asanteni
 
Ndugu zangu nawatakia usiku mwema na poleni na majukumu...
Ogopa wameru hawana heshima ya kudumu kwa mume, na kawaida wameru ni watamu kimapenzi tu ila sio kwa kuoa mmeru anataka kumdhibiti mwanaume siku zote, ogopa.

wanamke wa kimeru acha waoane wenyewe wewe mtombile tu iishie hapo. Mmeru anajua kushika bana. Muoe Kisha utarudi kusoma comment yangu kama archive
 
shida na waza sana nikikumbuka tabia za jumla za kabila lao na vitabia vyake hivyo hapo juu naingiwa na uoga sana maana mimi sipendi mikiki mikiki ya kijinga na mwanamke napenda amani, maana kwa jinsi nilivyo mpole najua kabisa mwanamke akinijia juu hovyo naweza hata nikamchemsha supu ni mnywe.

Fata uliyoandika.. mwachie apate mume wa kumfaa..

Ukiendelea huko mbeleni rudi ujisome.
 
Kumbe watanzania wabaguzi wa kikabila eehh.

Kuna golo naipenda mie tatizo nyeusi sana ile mamy, sasa mimi fikiria weka rangi nyeupe, ili peleka nyumbani nayo ionekane nyeupe nayo.
Au naonaje jjs2017
 
Ndugu zangu nawatakia usiku mwema na poleni na majukumu.

Naombeni ushauri wa mwisho kuhusu huyu binti wa kimeru, nimuoe au niachane naye..

Nimeingiwa na hofu na woga kuhusu hili kabila kutokana na ninayo yasikia kwa watu pamoja na kujionea mitandaoni.

Huyu binti wa kimeru naona yupo vizuri sana na anajiheshimu mno kwanzia mavazi na wala siyo omba omba wa hela, yipo teyari kuwa mke na kuwa mama , pia hapendi kuongea ongea sana ni mkimnya mara nyingi, pia halii njaa au kuomba hovyo, tabia na mienendo yake naona iko poa ila wasi wasi wangu ni kwamba.

Kuna muda anakua mkali sana na anapenda umjibu short and clear ukionyesha kumuudhi, hapendi akuulize kitu alafu uanze kujitetea au kumzungusha anapenda umjibu ndiyo au hapana, mbaya zaidi hapendi kabisa kunitafuta labda ni mtafute mimi na anakua poa tuu , ila sometime nikimpotezea sana ananikumbuka atleast kwa mwezi mara moja moja ..

Kuhusu kukutana naye na kunipa mzigo hapa hanashida kabisa angalau hata kakitokea kachance mara moja kwa mwezi siyo mbaya ila yuko poa sana .

Nafikiria sana kumuoa, hata sasa hivi naandika ndiyo nafikiria sana hapa kumuoa mpaka sipati usingizi maana katika mademu wote nilio nao kidogo yeye anaridhisha , shida na waza sana nikikumbuka tabia za jumla za kabila lao na vitabia vyake hivyo hapo juu naingiwa na uoga sana maana mimi sipendi mikiki mikiki ya kijinga na mwanamke napenda amani, maana kwa jinsi nilivyo mpole najua kabisa mwanamke akinijia juu hovyo naweza hata nikamchemsha supu ni mnywe.

Naombeni ushauri wa mwisho kwenu kabla usiku huu hauja isha ndugu zangu.

Asanteni
Mkuu fanya uoe mmachame kuliko huyo alisee.
 
mmeru na mmachame ni ndugu hao...tabia moja

Back
Top Bottom