Recent content by said kumbemba

  1. S

    JamiiForums Tanzania Membe kuwatumia Yanga, GSM, Ridhiwani Kikwete na Nyamlani kampeni za uchaguzi wa Rais 2020

    Kuna Dr. aliwahi kuchukuwa form ili apitishwe Na chama awe mgombea wa urais Tanzania visiwani wakati rais ilioko madarakani alikuwa ametawala awamu moja, anataka apitishwe na chama awamu ya pili, Na aliekuwa Mwenyekiti wa wakati huo haikuwa kesi bali busara ilitawala Sent using Jamii Forums...
  2. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

    Innalillah wannabe raajiuun
  3. S

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Lowassa na Sumaye

    Ushauri mzuri itakuwa bora kama wataufanyia kazi. Kila la kheri katika kustaafu kwa wazee wetu Hawa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania M/kiti halmashauri Tarime Mjini (CHADEMA) afumaniwa, apigwa kalazwa hospitali ya wilaya

    Hatari sana. Ajifunze kupitia hilo lililo mkuta.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu: Ni wakati sasa wa kuifanyia Mabadiliko BAKWATA ili kuwaunganisha waislamu wote Tanzania

    Alhamdulillah, ni maneno mazuri kuyasikia Allah, atufanyie wepesi katika kutekeleza na kufanikisha.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Stephen Munga: Wakati mwingine tunapopata madaraka na mamlaka tunageuka na kujifanya miungu ya dunia

    Maisha ya duniani ni mafupi sana. Ni vizuri kuishi na viongozi wetu wakatuongoza vizuri.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nini kilimuua Mehmed II aliyetaka kuufuta ukristo/dola ya kirumi ulaya ??

    Nimepata faida kubwa kupitia kisa hiki.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ya Kikwete yanafurahisha

    Mh, jakaya alikuwa msikivu, mnyenyekevu, anavumilia, hana jazba, wapinzani watekeleza majukumu yako kama kawa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania TBC taifa na matangazo ya mpira(Kashasha)

    TBC kwa Hakika kwa matangazo ya mpira wa miguu wapi juu.
Back
Top Bottom